Ushauri wenu muhimu kwa hili tafadhali

Unapenda vya bure(kwa m/me ni laana hiyo) mtoto wa kiume wa kiafrika kulelewa na m/ke ni ukiritimba na upu.mbavu uliokithiriii...

Stand on u own foot, ukikomaa utaenda USA kwa jasho lako, na ndipo utaenjoy zaidi as utafurahi pa1 na family yako...
 
Unachati na Emeka Ukechukwu, wakati wa kufanya mipango ya visa, utaambiwa utume dola 200 kwa ajili ya kufanyiwa mipango ya visa. Mwee mapenzi gani hayo yamekaa kama bongo movie
 
"""Kaniahidimambo kama siku nikienda
USA atanipeleka Miami Beach,hollywood, naatanionesha sehemu nyingi USA za kutembelea na kuenjoy pia atanipikia american dishes na mambomengine mazur mazuri tu.""""

kwa hiyo umedata na haya maneno
utaolewa
 
Unachati na Emeka Ukechukwu, wakati wa kufanya mipango ya visa, utaambiwa utume dola 200 kwa ajili ya kufanyiwa mipango ya visa. Mwee mapenzi gani hayo yamekaa kama bongo movie

Umenikumbusha jamaa yangu mmoja alikuwa halali usiku kisa anachati na demu wa kimarekani huwezi amini na hela ya visa alituma!
 
ahsante mkuu your very wise..!! sasa watu wengine maneno sijui utaolewa sijui nini? thats what i came here for.
Tunza hiyo mimba bana na huyo mwenzako ili ajifungue salama salmini kisha mfunge pingu za maisha. Huyo Mmarekani achana naye.
 
Reactions: BAK
"""Kaniahidimambo kama siku nikienda
USA atanipeleka Miami Beach,hollywood, naatanionesha sehemu nyingi USA za kutembelea na kuenjoy pia atanipikia american dishes na mambomengine mazur mazuri tu.""""

kwa hiyo umedata na haya manen

utaolewa
Namuonea huruma aliyebeba mimba
 
Wala hujaikosea Mkuu charminglady
Ni heri ndege mmoja uliyenaye tayari mkononi, kuliko ndege 1000 waliopo porini.

Well said mkuu... Hebu nikimbushe ile methali, Heri ndege uliyenaye mkononi kuliko ndege aliye mwituni.

Sijui kama nimepatia...
 
Last edited by a moderator:
Unatofati gani na wanawake wanaohongwa chipsi yai?

Acha akili za kitoto
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…