Ushauri wenu kwa huu mtihani

Milioni 2.5 ndio za kumtoa mtu uhai?
 
Ila wanamme mtaacha lini kutuua?uliwezaje kuondoka kwenye tukio Kama Hilo ukamuacha binadamu mwenzio hapo?Tena unaedai unampenda?
Tunawaua vipi wakati ni ujinga wenu wenyewe sasa mtu na akili zako unarukaje kwenye gari linalotembea ?
 
Pole umeoa mchagga au unaishi naye tu? Yaani wewe ni zoba kichizi, demu kala milioni 2 na nusu na mpenzi wake eti leo hii anakushawishi uweke gari lako bond ili umlipie lile deni, una akili kweli wewe? Naenda kukushitaki Ustawi wa Jamii kwa kutudhalilisha wanaume tunaojitambua.
 
[emoji19]
 
Uyo mwanamke yupo na depression msaidie kadri uwezavyo,ni mchaga wa wapi nipe jibu la swali hili tafadhali,
Inahitaji roho na pesa kudate nNa dada zangu hawa, wanawivu halafu mapenz ziro ila wakipenda wamependa

Cha msingi usiuze gari we msaidie kwa njia ingine ila nawe katili alivyokuambia anaruka ungepaki gari pembeni ungemwambia shuka, au ungemlamba vibao viwili vitakatifu akili ikae sawa
 
Yah mkuu
 
Hakuna mwanamke hapo huyo ni shetani na tapeli... Usirudiane nae atakuua. Kama huamini rudiana nae uone. Kama alijitupa shauri yake kikubwa awe amekufa ili asikusumbue tena kukutaka kimapenz
 
Hakuna mwanamke hapo huyo ni shetani na tapeli... Usirudiane nae atakuua. Kama huamini rudiana nae uone. Kama alijitupa shauri yake kikubwa awe amekufa ili asikusumbue tena kukutaka kimapenz
Sawa mkuu
 
Kwanini hukusimama sasa dah
 
Msaidie mlipe madeni
 
Ila wanamme mtaacha lini kutuua?uliwezaje kuondoka kwenye tukio Kama Hilo ukamuacha binadamu mwenzio hapo?Tena unaedai unampenda?
Nahisi jamaa alijua utani tu, kuwa mwanamke wake alikua anatania kuwa naruka sasa amekutana na aliejitoa ufahamu akaruka kweli , its happen mna hasira sana wanawake mnaweza fanya maajabu ili uaminiki kwenye mapenzi
 
Sasa utani huo vipi na kaona kabisa mzigo upo nje ya gari?Hawa wote wawili inaoneka walikunywa vitu vigumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…