Ushauri wenu kwa huu mtihani

Kwanza tujuze hio story ni kweli au cooked one ,I mean tuhakikishie ni ya kweli isije kuwa tunawaza tukupe ushauri mzuri kumbe tunatolea maoni story ya kwenye kitabu
 
Hata kama nilikuwa mitungi mpaka sasa naona sina kosa kweli, mtu unatishia kuruka kwenye gari iseee sasa naoana now maumivu anayopitia huko akili inamkaa sawa
Umefuatilia yupo salama? Kama yupo mzima fuatilia matibabu yake akae sawa then akishapona udio ufanye maamuzi mengine ,akifa huyo mkuu mahakama na jamii haitasikiliza na kuelewa hoja yako eti aliruka ukizingatia uliendelea na safari. Haukufanya fresh
 
Kwanza tujuze hio story ni kweli au cooked one ,I mean tuhakikishie ni ya kweli isije kuwa tunawaza tukupe ushauri mzuri kumbe tunatolea maoni story ya kwenye kitabu
Yakwel
 
Umefuatilia yupo salama? Kama yupo mzima fuatilia matibabu yake akae sawa then akishapona udio ufanye maamuzi mengine ,akifa huyo mkuu mahakama na jamii haitasikiliza na kuelewa hoja yako eti aliruka ukizingatia uliendelea na safari. Haukufanya fresh
Okh
 
afadhali alipona ,ila huyo demu achana naye kabisa,haiwezekani ulipie deni ya hela waliyoponda nayo raha ye na ex wake,inaonekana kuna mchongo aliupanga uweke gari bondi
P p nalifanyia kazi
 
Huyo ni msanii kama ndama mtoto wa ngombe sema yeye anapiga pesa ndogondogo...kimbia saa yeyote unapigwa tukio utakufa na kiharusi
 
Itakuwa ulimsukuma ndo maana hukusimama kumuangalia vinginevyo haiingii akilini[emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kila siku mnaambiwa msioe wachaga ila hamsikii mbona hii Tanzania ina wanawake wengi sana.
 
Nadhani hiyo ndoo staili yake ya maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…