Ushauri wenu kwa huu mtihani

Hii ishu ikaushie kma anekufa kumbuka ww ndio mtu wa mwisho kua nae ni msala utakuja kunyongwa hivi hivi kua makini huyo demu ni pepopesa mzee inaelekea apo mmekutana mswahili na mchagga patamu apo.
 
Hata kama nilikuwa mitungi mpaka sasa naona sina kosa kweli, mtu unatishia kuruka kwenye gari iseee sasa naoana now maumivu anayopitia huko akili inamkaa sawa
 
Hii ishu ikaushie kma anekufa kumbuka ww ndio mtu wa mwisho kua nae ni msala utakuja kunyongwa hivi hivi kua makini huyo demu ni pepopesa mzee inaelekea apo mmekutana mswahili na mchagga patamu apo.
daah me sijui chochote mpaka sahiz kmy cm yake haipatikani ila speed 40 hawezi kufa
 
Uyo dada kashawahi kula kiporo Cha wali na maharage na chai ya rangi kweli??
Uyo maslahi mbele kuliko mapenz na atakupa kesi mbaya Sana

Mtafute ujue anaendeleaje mwambie Deni tutalipa maana nahisi ukimkataa sahiz atakupa kesi kubwa tu

Akishapona mmwage mbuzi huyo

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Asnte mkuu
 
[emoji16][emoji16][emoji16] mkuu gari gani unatumia hiyo ya ajabu ajabu kiasi cha kumfanya abiria wako aamue kufungua mlango na kuruka tena kwa speed 40 iyo gari uza tu kama haina automatic lock za doors nawewe utaja kuruka sasa…….
 
Uuze gari kulipa deni alilotumia na bwana wake wa zamani? Broh tunapoingia kwenye mahusiano, past is no longer our concern. So hata ilo deni halikuhusu
 
Muongo huyo Hajaruka! Anataka hela tuu....Rudi pale kwenye Lami utamkuta anakusubiri tu.
 
Mtu hawezi kuruka akiwa amekaa labda kama ilikua pick-up, huyu jama baada ya kukereka na mlevi mwezie akamua kumsukuma nje ili afe gari lake lipone kuuzwa,

Huyu mchagga angekua anataka ajari mwenyewe asinge mruhusu kuendesha gari vizuri angepigana nae kwenye stearing ili agonge wapate ajari wote, lakini cha kuruka akiwa ameka hapana, tena kumbuka gari zina Central lock mlevi asinge weza kufungua mlango kirahisi bila yeye kuzuia na lock tena, huyu jamaa kaua au alifanya jaribio la kuua huyu manzi wa mchagga, anda wakili wakukutetea, mwenzio kasha pona hilo deni, kwa kifo au kua maututi hospitali atavumiliwa na vikoba, usicheze na Mchagga kwenye masirahi
 
[emoji16][emoji16][emoji16] mkuu gari gani unatumia hiyo ya ajabu ajabu kiasi cha kumfanya abiria wako aamue kufungua mlango na kuruka tena kwa speed 40 iyo gari uza tu kama haina automatic lock za doors nawewe utaja kuruka sasa…….
Mkuu lock sianatoa ttuh
 
Sawa
 
wakenya wawachukue wachaga ,watuachie mombasa mana izi tabia zao kabisa tunawapa na mt kil'njaro kama kifungashio tumechoka
 
Mi nasikizia taarifa ya habari leo ITV nikisikia "Mwanaume amuua mwenzi wake na kumtupa barabarani kisha kukimbia kusikojulikana" nasogea karibu naunganisha dots tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…