JAPHA ED
JF-Expert Member
- Aug 17, 2016
- 795
- 1,229
Kwani umri wa kujiunga na 4M5 government ni miaka mingapi mwisho?kumbuka na age ni tatizo, hakimaliza form 4 akiwa na umri mkubwa hata kama amepass haendi form5 ya government
Kwani umri wa kujiunga na 4M5 government ni miaka mingapi mwisho?kumbuka na age ni tatizo, hakimaliza form 4 akiwa na umri mkubwa hata kama amepass haendi form5 ya government
Inamaana hamna wanaorudia 4M2 sasa hivi??namba hawez kupata kwa utaratibu wa sasa maana zinatumika TSM9 za shule za shule ya msing lbda atumie jina la mtu aliyeacha shule.
Kuanzia umri gani mtu haruhusiwi kwenda F5 ya serikali?kumbuka na age ni tatizo, hakimaliza form 4 akiwa na umri mkubwa hata kama amepass haendi form5 ya government
Naunga mkono maoni yako.niwe tofaut na wenzangu, mfundishe biashara ndogo ndogo yaan ujasiliamal kwa ujumla, au fan nyingne yoyote ile, kama vile ufund umeme, udereva, mpeleke geregi nahakika baada ya miaka 3 ataleta matokeo mazur na utafrai. akikataa ndo mpeleke form two. gharam za kumtoa form two had form 4, zngetosha kufanya moja kat ya hayo nlyokushaur.
Ulimpeleka private au Government?Mwaka Jana nimempeleka mdogo wangu angalau arudie Na apate namba afanye necta kama school candidate walisema haiwekani Kwa utaratibu wa sasa
Anaweza kufanya kama reseter akaanza form two au form three