Ushauri wenu kabla sijafanya maamuzi magumu

nimekuelewa jamaa yaaangu, naona wachangiaji wengine wamekimbili hoja dhaifu ya udangaji.
lakini jamaaa hapa kaeleza wazi, kuwa jimama anahudumia zaidi penzi/sexiana kuliko huyo wake wa zamani

hata mimi niliwahi kunasa sehemu sababu nilikuwa nikipiga simu kuomba nimekumiss naletewa mzigo tofauti na niliyekuwa naye kitambo yeye utetezi mwingi hadi najiuliza anaishije na ukeke bila kuchachua?

wanaume hata mdada awe mzuri vipi sisi shida yetu kubwa tunda, akili haifanyi kazi bila kula tunda.
imagine umempata sasa anakupa utakavyo[emoji8][emoji8][emoji8]
Bro, Big up saaaaana kwa mchango wako.

Hawa watoto wa siku hizi, ukiwa Baharia wanakupa maelezo kibao. Kitu ambacho kwa mwanaume hakisaidii. Maana naamini hata kama jamaa asingenasa kwa jimama, lazima angetafuta msichana mwingine tu.

Namshauri jamaa, baada ya kumaliza hili soo aangalie aoe tu. Utaishije na mchumba miaka 7 mzee? Hata kama angekuwa mwingine asingekataa kuanzisha mahusiano mapya.

Hivyo tatizo halikuwa kwa binti ila kwa kijana.
 
Acha uhuni
Iko hivi:
Nina mpenzi wangu wa siku nyingi kama miaka 7 hivi. Hivi karibuni mapenzi yalianza kupoa na nikiri wazi kuwa mimi ndiye haswa niliyekinai na kumueleza mwenzangu kwa maneno hata kwa kumuonesha kwa vitendo. Hapa na pale nikaopoa Jimama na niseme wazi kuwa kilichonivutia kwake haswa ni huduma anazonipa kwa maana ya huduma zaidi ya mapenzi. Mpenzi wangu wa zamani akagundua hilo lakini hakukata tamaa hivyo tukawa tunaendelea kidogo kidogo na mahusiano yetu ambayo hata huyo Jimama alikuwa anajua kwani alinikuta nikiwa naye na kuahidi kuwa atamuheshimu.

Baada ya kama mwaka mzima kupita tukiendelea na mfumo huu wa maisha, nagundua kuwa huyu Jimama naye ana mzee wake tena wa siku nyingi tu ila anakomaa kuwa huyo anampa kampani ya kiuchumi tu ila Mimi ndio roho yake. Kwa kweli hali hii ilinifanya nipunguze mapenzi kwake kwa kiasi fulani. Yeye ameshindwa kukubaliana nayo na moja ya kitu anachodhani kimesababisha kuyumba kwa penzi letu ni yule mpenzi wangu wa tangu zamani akidhani kuwa mapenzi yetu yameimarika.

Balaa!
Ameamua kumfanyia jambo la ajabu sana mpenzi wangu huyu wa toka enzi kwa kununua wahuni na mmoja wapo kujifanya kuwa anampenda na anataka kumuoa. Huyu muhuni amewezeshwa gari, pesa na kujifanya ni afisa fulani wa Serikali. Huyu mpenzi wangu wa toka enzi kwa kutojua na kwa kuamini kuwa sasa amepata mwanaume atakayempenda kwa dhati akaingia mkenge na siku ya siku walipokuwa wanafanya tendo amejikuta amerekodiwa na video/ picha kusambazwa hadi kunifikia Mimi. Lengo kuu hapa nione kuwa nang'ang'ania mwanamke ambaye ni Malaya kama walivyo Malaya wengine. Hili limenisikitisha sana ukizingatia kuwa kwa sasa huyo binti amepatwa na shock mbaya hadi kulazwa hospitali.

Hapa nilipo nimejawa na huzuni, huruma, hasira na hali ya kuchanganyikiwa kiasi kwamba nafikiria kumfanyia huyu mama jambo baya!

Ushauri wenu tafadhali!
 
Kama muhuni wa kukodiwa kapewa gari na mpunga, wewe unamiliki nyumba ngapi na magari mangapi?

Ikiwa huna hata moja jitafakari.

Mwisho, hayo mahusiano ya miaka 7 ni uchumba, urafiki au mapenzi?
 
Achana na watu wenye kupenda kuzungusha maneno, sikia ushauri ulionyooka usio na unafiki: KWA KUWA UNAPENDA KULELEWA, HUYO MAMA SIO MTU SAHIHI KWAKO KWA MAANA HATA YEYE HIZO PESA ANAPEWA NA BWANAAKE. SASA WEWE HAMIA KISIMANI, USISUBIRI MAJI YA KIDUMU...OLEWA NA BWANAAKE HUYO MAMA.
 
Iko hivi:
Nina mpenzi wangu wa siku nyingi kama miaka 7 hivi. Hivi karibuni mapenzi yalianza kupoa na nikiri wazi kuwa mimi ndiye haswa niliyekinai na kumueleza mwenzangu kwa maneno hata kwa kumuonesha kwa vitendo. Hapa na pale nikaopoa Jimama na niseme wazi kuwa kilichonivutia kwake haswa ni huduma anazonipa kwa maana ya huduma zaidi ya mapenzi. Mpenzi wangu wa zamani akagundua hilo lakini hakukata tamaa hivyo tukawa tunaendelea kidogo kidogo na mahusiano yetu ambayo hata huyo Jimama alikuwa anajua kwani alinikuta nikiwa naye na kuahidi kuwa atamuheshimu.

Baada ya kama mwaka mzima kupita tukiendelea na mfumo huu wa maisha, nagundua kuwa huyu Jimama naye ana mzee wake tena wa siku nyingi tu ila anakomaa kuwa huyo anampa kampani ya kiuchumi tu ila Mimi ndio roho yake. Kwa kweli hali hii ilinifanya nipunguze mapenzi kwake kwa kiasi fulani. Yeye ameshindwa kukubaliana nayo na moja ya kitu anachodhani kimesababisha kuyumba kwa penzi letu ni yule mpenzi wangu wa tangu zamani akidhani kuwa mapenzi yetu yameimarika.

Balaa!
Ameamua kumfanyia jambo la ajabu sana mpenzi wangu huyu wa toka enzi kwa kununua wahuni na mmoja wapo kujifanya kuwa anampenda na anataka kumuoa. Huyu muhuni amewezeshwa gari, pesa na kujifanya ni afisa fulani wa Serikali. Huyu mpenzi wangu wa toka enzi kwa kutojua na kwa kuamini kuwa sasa amepata mwanaume atakayempenda kwa dhati akaingia mkenge na siku ya siku walipokuwa wanafanya tendo amejikuta amerekodiwa na video/ picha kusambazwa hadi kunifikia Mimi. Lengo kuu hapa nione kuwa nang'ang'ania mwanamke ambaye ni Malaya kama walivyo Malaya wengine. Hili limenisikitisha sana ukizingatia kuwa kwa sasa huyo binti amepatwa na shock mbaya hadi kulazwa hospitali.

Hapa nilipo nimejawa na huzuni, huruma, hasira na hali ya kuchanganyikiwa kiasi kwamba nafikiria kumfanyia huyu mama jambo baya!

Ushauri wenu tafadhali!
Kila kitu cha dhambi kinaenda kidhambi,becareful,huyo jimama ana mtu wake,huyo mtu wake unaweza kukuta naye ana mwanamke mwingine kwani inaonyesha hayuko serious kivile,huyu wa kwako naye tayari katembea na mtu mwingine,na wewe bado unaendelea kote kote,hebu niambie hapo kama kuna mmoja ana UKIMWI utapona kweli mkuu...?
 
Unafanana na jina lako
Achana na watu wenye kupenda kuzungusha maneno, sikia ushauri ulionyooka usio na unafiki: KWA KUWA UNAPENDA KULELEWA, HUYO MAMA SIO MTU SAHIHI KWAKO KWA MAANA HATA YEYE HIZO PESA ANAPEWA NA BWANAAKE. SASA WEWE HAMIA KISIMANI, USISUBIRI MAJI YA KIDUMU...OLEWA NA BWANAAKE HUYO MAMA.
 
So far nashukuru kwa michango ya wale wote waliotoa kwa kutafakari angalau kwa kiasi. Ila wote waliojikita kwenye kutukana na kuropoka wakidhani nao wametoa michango ya mawazo siwalaumu wao bali nawalaumu walezi wao, hawa ndio waliojaza nchi hii na kuifanya ionekane kuwa na watu kumbe ni maboya tu!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Umeua mkuu
Achana na watu wenye kupenda kuzungusha maneno, sikia ushauri ulionyooka usio na unafiki: KWA KUWA UNAPENDA KULELEWA, HUYO MAMA SIO MTU SAHIHI KWAKO KWA MAANA HATA YEYE HIZO PESA ANAPEWA NA BWANAAKE. SASA WEWE HAMIA KISIMANI, USISUBIRI MAJI YA KIDUMU...OLEWA NA BWANAAKE HUYO MAMA.
 
So far nashukuru kwa michango ya wale wote waliotoa kwa kutafakari angalau kwa kiasi. Ila wote waliojikita kwenye kutukana na kuropoka wakidhani nao wametoa michango ya mawazo siwalaumu wao bali nawalaumu walezi wao, hawa ndio waliojaza nchi hii na kuifanya ionekane kuwa na watu kumbe ni maboya tu!

Tengeneza mambo yako acha kulaumu wazazi wa watu.

Jukumu la kuweka sawa haya mambo linanabaki mikononi mwako bila kujali unapata ushauri au haupati.
 
So far nashukuru kwa michango ya wale wote waliotoa kwa kutafakari angalau kwa kiasi. Ila wote waliojikita kwenye kutukana na kuropoka wakidhani nao wametoa michango ya mawazo siwalaumu wao bali nawalaumu walezi wao, hawa ndio waliojaza nchi hii na kuifanya ionekane kuwa na watu kumbe ni maboya tu!
Aaastaghafirullah! Haya walezi wetu siye wanahusianani na umarioo wako we mwana?!! Mimi, mathalan, nimekupa mchango wangu kwa mujibu wa haiba yako, na wengine bila shaka. Sasa mbona wajazbika kama umesikia kuna mtu kamshauri mama kubwa asikutoe out?
 
Nakishauri kwa kipindi hiki cha stress.com usifanye maamuzi yyte unaeza kuja kujutia subir stress.com ziishe utapata maamuz sahihi
 
Back
Top Bottom