Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 10,739
- 22,096
Sawa tusubiri hiyo part VI, ila kiukweli kama jamaa kajua lazma imuume kichizi.Asante sana.
Ni kwa vile nimeishia hapo nilipoishia, lakini matibabu ya kuokoa maisha ya Clara na misaada mingine haijamfurahisha jamaa.
Sijutii kuokoa maisha ya Ckara.
Mi niko pembeni, ila hata Clara kanidokeza jamaa anataka talaka.
Hiyi Part VI bado inajifunua.
Na si ajabu huyo mwanamke ashaanza kumuonesha dharau coz anajua wewe upo na unampenda.