USHAURI WENU: Ameshaolewa lakini bado ananitaka, nifanyeje?

USHAURI WENU: Ameshaolewa lakini bado ananitaka, nifanyeje?

Ni kweli Jawilat! Lkini huyo mwanamke ndio amekuwa akinitafuta na si mimi.
Jamaa yangu ACHANA NAYE KABISA iko siku utamsahau kabisa kwani hana tofauti na Mkeo
Muheshimu Mkeo na mkipata watoto ndio URITHI wako na Jina lako.
Haya mavitu yanafanana maana utazunguka mabucha yoteeeeeeeee nyama ni ileile ingia Rahatupu.Blogspot UKASHANGAE
 
Hapana unabadili no kwa ajili ya mpuuzi mmoja? Ampe black n white tu..tena amwambie mumewe ukweli wote!!! He has nothing to loose,rather He will gain a lot, trust to his wife and truth to the other guy

u don hav to use much energy to solve a single problem,ni vigumu hata huyo mume mwenzie kumuelewa kwani hata yeye keshaanza kumwambie asiwe anawasiliana na mkewe.so,cha muhimu ni kujifanya ----- tu na kubadili no.kujifanya ----- ni moja ya sifa za utu uzima,sio kwamba hujui hapana,bali unaepusha mengi kwa kuwa -----
 
Achana nae kwani aliishakusaliti mwanzoni na yaelekea kwenye hiyo ndoa yake inamatatizo na sasa anataka aje ajipachike kwako. Chunga sana huyo ni sumu atakuja kukuharibia maisha yako.
 
Hivi mtu mwenye akili timamu ni jambo la kutaka ushauri hili?kweli hiki kizazi cha nyoka kisicho na akili
 
Hy zitu kweli alichotegemea huko hakipo au kimeisha ndo maana anaanza kuangaika kanunue safari boot alafu unampiga ndochi ya ukweli,usisahau mke wa mtu sumu bali mume wa mtu maziwa!!!
 
 
Last edited by a moderator:
tanzania umebadilika kaka.zile enzi za kufumaniwa halafu unapigwa na kupelekwa polisi zimeisha siku hizi ni mwendo wa mguu wa kuku.beware
 
U can't swallow your own vomits, she's gone forever! Don't turn your back.
 
Hbr za leo ndg zangu wana JF!
Nilikuwa na mpenzi ambaye tulikuwa ktk uhusiano kwa takribani miaka 5 hivi. Nilkuwa tayari nshakuwa na maamuzi ya kumfanya kuwa mke wangu kwa kufuata taratibu zote mara tu baada ya kumaliza masomo yangu 2009.Mwaka huo ho(2009) niligundua alikuwa kwenye mahusiano na mtu mwingine.Nikashindwa kustahimili na kusitisha mahusiano naye! Mara baada ya hapo, aligeuka kuwa kama adui mkubwa kwangu kwa kunitukana matusi mengi ambayo kimsingi sipaswi kuyaweka wazi kwa ajili ya kutunza maadili, yalikuwa ni mazito sana.
Ndani ya mwaka huo huo, mwanamke huyo alienda kuungana na huyo mwanamme wake mpya na kuanza maisha kama mume na mke. Cha ajabu ndudu zanguni ni kwamba, mimi nilifuta namba zake zote na sikutaka kuwasiliana naye tena. Lakini alianza kunitumia msg za nakumic,am sorry swt, ntakupenda daima, najutia maamuzi yangu nk.Baadaye alianza kunipigia cm akitaka turudiane.
HIVI KARIBUNI ALINIPIGIA CM KUNISALIMIA, SIKU 2 BAADAYE NIKAPOKEA SMS KUPITIA CM YAKE IKISEMA: "sitaki uwe unaongea na mke wangu".
Mnanishaurije juu ya mwanamke huyo? Me tayari nina mke wangu na nampenda kweli!

polee.. so huna maamuzi mpaka hapo unataka tukushauri!? hilo liko wazi achana nae sio wako huyo.
 
Hapo unataka ushauriwe nini sasa? Mbona hujielewi? Umeshasema alikutukana matusi ya nguoni na ulipokuwa nae alikuwa na mtu mwingine pembeni hapo huhitajimasters kujua unachotakiwa kufanya!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom