Ushauri wapi patanifaa

Ushauri wapi patanifaa

cacutee

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2024
Posts
1,679
Reaction score
4,270
Habari zenu wapendwa.

Mimi Niko salama.

Ninakuja kwenu nikiwaomba wote wenye uzoefu wanisaidie ushauri.

Ninatamani kuhamia maeneo ya migodini nikafanyie biashara huko.

Nimechoka pia Kuishi ukanda wa pwani ninatamani maisha mapya na watu wapya.
Hata kama nitaajiriwa pia huko sio mbaya.

Sijawahi Kuishi huko ila wengi wamekuwa wakisifia kwamba mzunguko ni mzuri huko.

Sasa ninaomba mnisaidie Kati ya
Geita,
Kahama na
Nyamongo
ni wapi pazuri kwa mfanyabiashara?

Na ni biashara gani halali ninaweza kufanya nipate mzunguko mzuri angalau niendeshe maisha.?

Sina mtaji mkubwa ni mtaji mdogo tu wa wajasiriamali wa kawaida.

Ninatanguliza shukrani zangu kwenu nyote mtakaoguswa na hili.
 
Habari zenu wapendwa.

Mimi Niko salama.

Ninakuja kwenu nikiwaomba wote wenye uzoefu wanisaidie ushauri.

Ninatamani kuhamia maeneo ya migodini nikafanyie biashara huko.

Nimechoka pia Kuishi ukanda wa pwani ninatamani maisha mapya na watu wapya.
Hata kama nitaajiriwa pia huko sio mbaya.

Sijawahi Kuishi huko ila wengi wamekuwa wakisifia kwamba mzunguko ni mzuri huko.

Sasa ninaomba mnisaidie Kati ya
Geita,
Kahama na
Nyamongo
ni wapi pazuri kwa mfanyabiashara?

Na ni biashara gani halali ninaweza kufanya nipate mzunguko mzuri angalau niendeshe maisha.?

Sina mtaji mkubwa ni mtaji wa Kati tu wa wwjasiriamali wa kawaida.

Nenda na ndoto zako,Angalia mahitaji ya soko ni Nini,chukua hatua
 
Kahama Ina Hela , ila wengi wameshatengeneza mifereji Yao ya Hela

Geita Katoro Inakua na Ina Hela, ni rahisi hata biashara yako kukupa pia
 
Mmekataa kutoa code eeh
Penzi ni kama mlima mlima Kilimanjaro huwezi panda ukiwa china mpaka uje Kilimanjaro

Namaanisha tena badget tembelea geita hasa nyarugusu pia kakola pia pita kahama utauza sana huko hasa ukiwa bonge la dada siunawajua tena matajiri wa kisukuma kwa shobo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom