lucky abdy
Member
- Jan 16, 2021
- 5
- 2
Habari zenu kuna mdogo, wangu kapata two ya 10 alikuwa anasoma PCB, ni kozi gani anaweza kusomaa?
Unamsingizia mdogo wako kwann?Habar zenu kuna mdgo wang kapata two ya 10 alikuwa anasoma PCB n kozi gan anaweza kusomaa
Unamsingizia mdogo wako kwann?
Matokeo yakoje??Habari zenu kuna mdogo, wangu kapata two ya 10 alikuwa anasoma PCB, ni kozi gani anaweza kusomaa?
Hv Halmashauri kuna kozi hazipo kweli huko!??Soma kozi ambayo itakufanya usije fanyakazi halmashauri,utakuja kunishukuru badae.
Mwenye dvs one ya point nane, pcb anaweza kupata hiyo md?Hapo hakuna Cha Dogo Wala Nini?? Hapo siyo Siri kwa hiyo Combi umezingua Bora ingekuwa PCM kidogo afadhari kwaiy best Chance ulionayo ni kwenda education na kama ndoto yako ilikua ni Udakitari rudi nyumban chukua cheti Cha form four nenda Anza Diploma ya Nurse mpka MD
Kila la kheri
Mwambie akasomee project planning ila kama anataka Afya mwambie akasomee PharmacyHabari zenu kuna mdogo, wangu kapata two ya 10 alikuwa anasoma PCB, ni kozi gani anaweza kusomaa?
Huyo mwambie apply St.Francis (SFUCHAS) round ya kwanza atapataMwenye dvs one ya point nane, pcb anaweza kupata hiyo md?
Kama anataka MD anaweza pata kama akiomba mapema SFUCHASHabari zenu kuna mdogo, wangu kapata two ya 10 alikuwa anasoma PCB, ni kozi gani anaweza kusomaa?
C ya physics,D ya biology na C ya chemistry
kila kozi unaweza kusoma inategemeana na uwezo wako??Habari zenu kuna mdogo, wangu kapata two ya 10 alikuwa anasoma PCB, ni kozi gani anaweza kusomaa?
Hamna kozi ambayo haipo halmashaur aache uongo huyoHv Halmashauri kuna kozi hazipo kweli huko!??