Ushauri wangu wa bure tu kama unajijua/ukijijua kuwa wewe ni ama Mwanaharakati au Mpingaji wa Mamlaka

Na ndiyo maana mapema sana nami nimeamua leo Kuwatahadharisha kwani nimedokezwa zoezi linaendelea pia kwa wengine.
Hakuna duniani aliyeweza wasilence watu akaweza aliishia kuukimbiza upepo tu.Wasiposema ndani watasema nje.Uovu haujawahi ishinda Jamii fanya stud.Nyerere aliweza zama za Giza,Kim ameweza sababu anamiliki mifumo yake isiyoingiliana na duniani,hivo akiamua awatoe kafara watu 1000 kwa miungu yake anaweza na dunia haiwezi jua
 
Uwa nacheka sana mtu kunifuata inbox na kunitisha! by the way uwa sijibu pm na pm yangu imejaa sms ila nawapenda wote wanaonitishaga hapa jf bila kunijuwa maana unatakiwa kuwa na roho ngumu sana kumtisha mtu usiyemjuwa! naomba tuheshimiane wengine ufanya kazi na hao hao mnaowatetea.

Ila lazima tupishane kwenye maslahi ya umma ndio maana uwa tunakuja kubishana hapa kuondoa stress zetu za vikao na mipango hatari kwa mstakabari wa taifa letu ndio maana nahesimu mawazo ya kila namna ya wanajamii forum ila nashauri usimtishe mtu usiyejuana naye! Mdude yeye alijisahau sana!
 

Nimemwona Crimea. Vipi umefurahi sasa?

Bye bye amigo don't remember even to write back.
 
Tatizo hiyo njia ya kuwafunga watu, kuwaua au kuwatesa haijawahi shinda popote, njia kubwa ya kuwanyamazisha watu ni HOJA ZENYE NGUVU KULIKO WAO, hizo zingine zitasaidia kwa muda fulani tu lakin sio muda wote
Kuna Watu wanadhani labda hili ANGALIZO nililoliweka hapa nimeliweka ili mradi tu. Jamani tuwe makini na tuwe pia na Kiasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi imefika kusiko sasa jamani tuwe makini uchaguzi ujao!
 
Hata Mandela alikaa jela pekee yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…