Ushauri wangu: Star TV juu ya Dr Slaa

Ushauri wangu: Star TV juu ya Dr Slaa

Unawashwa nini? Mbona sisi CCM hatusemi juu ya Kingunge? Lowasa hawezi kuwa rais hata iweje maana ni fisadi mwizi alitakiwa awe keshakufa kwa kuchomwa moto

Nikweli Lowasa angekuwa amechomwa moto....ila kuni mngekuwa nyie wanaCCM woooote, kuni ya kuwashia angekuwa mwenyekiti na kibiriti angekuwa Riz1
 
Unawashwa nini? Mbona sisi CCM hatusemi juu ya Kingunge? Lowasa hawezi kuwa rais hata iweje maana ni fisadi mwizi alitakiwa awe keshakufa kwa kuchomwa moto

Kweli na mimi nawashwa pia! Maana sijaoga Leo ni siku ya tatu maji hakunaa wameyakata sijui kuna tatizo gani huko Dawasco!! Hi ni tatizo la ccm miaka nendaa ifumbuzi hujapatikana aisee!! Usihukumu Mungu ndo anayetoa hukumu kijanaa.!
 
Lowasa anafaa apewe tuzo ya mwanasiasa mvumilivu barani africa...katukanwa matusi yoootee lakini hajajibu hata moja, Mungu ampe maisha marefu, Amina...
 
Hawataweza zuia mabadiliko... Misri walishindwa
 
Babu sasa hv hana kazi wangempa ajira tu ya kumpa kipindi cha ujasiri katika ndoa maana anahitaji kushare experience yake katika ndoa

…aanzishe kanisa, huko anaweza kufanikiwa coz waumini hawana nafasi ya kuhoji anachosema mchungaji hata kama anayohubiri ni uwongo…
 
Re.kichwa cha Habari hapo juu, ni vyema Mkaaribu ratiba zenu na vipindi vyenu vyote, kwa masaa yote Mpaka uchaguzi uishe, mmweke Dr slaa Mwanzo wa Asubui mpaka usiku.

Waleteni na wengine. Wengi Mtukane Lowassa Mwanzo wa Asubui mapaka jioni, kufanya kazi mliyotumwa na Mwenyekiti wenu Bw Antony Dialo na Maccm wenzake.

Ila Mjue kwamba mabadiliko haya hepukiki safari hii, kwa propaganda kwa matusi kwa kejeli. Lowassa ndiye Rais.

Sasa atakapo apishwa sijui mtatafuta shimo la kuingilia na itakuwa fundisho kwa wengine wenye tabia kama za kwenu, kufanya propaganda kwa chuki zenu.

WATANZANIA HATUDANGANYWI TENA NA CCM KAMA MIAKA YA NYUMA,hata iweje...TUTAMPIGIA KURA EDWARD LOWASSA.
 
Unawashwa nini? Mbona sisi CCM hatusemi juu ya Kingunge? Lowasa hawezi kuwa rais hata iweje maana ni fisadi mwizi alitakiwa awe keshakufa kwa kuchomwa moto

Ufisadi msimkamate miaka 8 yoote hiyo???! Au alipohamia CDM ndio ufisadi wake ulipokolea sana???! Urais wa nchi hii unaamuliwa na wanchi wote si kwa hisia zako

Tuhesabu kura 26 /10
 
Dialo sio propaganda ila anaweza ua kabisa anatisha
 
Star TV wanaboa sn wameaahau kuwa ipo cku ccm hawatakuwa madarakani,
 
Watu wanajisahau kuwa uchaguzi utapita na tutarejea life LA kawaida bila kujali man kashinda umpendae au umchukiae. Kutwa nzima matusi kejeli na vijembe.
 
Tangu Lowassa ahamie CHADEMA basi wafuasi wa hicho chama mmegeuka Mashahidi wa Yehova,yaani mzee akiguswa tu juu ya afya yake mnakimbilia kwenye maandiko,Ooh shukuru Mungu kama wewe ni mzima...na ngonjera kibao.

Lakini kumbukumbu zinaonesha alipokuwa CCM nyie ndo mlikuwa mstari wa mbele kumkejeli juu ya hiyo hiyo afya yake.

Hizi siasa hizi,Unafiki tu!!
 
Back
Top Bottom