Ushauri wangu: Star TV juu ya Dr Slaa

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
5,211
4,170
Re.kichwa cha Habari hapo juu, ni vyema Mkaaribu ratiba zenu na vipindi vyenu vyote, kwa masaa yote Mpaka uchaguzi uishe, mmweke Dr slaa Mwanzo wa Asubui mpaka usiku.

Waleteni na wengine. Wengi Mtukane Lowassa Mwanzo wa Asubui mapaka jioni, kufanya kazi mliyotumwa na Mwenyekiti wenu Bw Antony Dialo na Maccm wenzake.

Ila Mjue kwamba mabadiliko haya hepukiki safari hii, kwa propaganda kwa matusi kwa kejeli. Lowassa ndiye Rais.

Sasa atakapo apishwa sijui mtatafuta shimo la kuingilia na itakuwa fundisho kwa wengine wenye tabia kama za kwenu, kufanya propaganda kwa chuki zenu.
 
Unawashwa nini? Mbona sisi CCM hatusemi juu ya Kingunge? Lowasa hawezi kuwa rais hata iweje maana ni fisadi mwizi alitakiwa awe keshakufa kwa kuchomwa moto
 
Mungu anasema usihukumu, ukaja kuhukumiwa, kwa kuwa kipimo upimacho kwa wenzako ndicho utakachopimiwa! issue za kufa kwa mtu mwachie Mungu usije kujikuta unatangulia wewe maana Mungu hadhihakiwi, CCM hawana mtu anayetukana sampuli yako aisee we wawapi au umepotea njia?
 
Unawashwa nini? Mbona sisi CCM hatusemi juu ya Kingunge? Lowasa hawezi kuwa rais hata iweje maana ni fisadi mwizi alitakiwa awe keshakufa kwa kuchomwa moto

Kapige Mswaki Maana Midomo Michafu ni Tabia ya Maccm, uja soma soma ripoti ya PPRA juu ya wizara ya Fisadi Magufuli?
 
Slaa alitumwa kutuliza vumbi la Kingunge?
 
Kapige Mswaki Maana Midomo Michafu ni Tabia ya Maccm, uja soma soma ripoti ya PPRA juu ya wizara ya Fisadi Magufuli?

Nenda kawapigishe mswaki kwanza Lema na SUgu unajifanya kuondoa boriti kwenye jicho la mwenzio wakati we mwenyewe una bonge la boriti!
 
Re.kichwa cha Habari hapo juu, ni vyema Mkaaribu ratiba zenu na vipindi vyenu vyote, kwa masaa yote Mpaka uchaguzi uishe, mmweke Dr slaa Mwanzo wa Asubui mpaka usiku.

Waleteni na wengine. Wengi Mtukane Lowassa Mwanzo wa Asubui mapaka jioni, kufanya kazi mliyotumwa na Mwenyekiti wenu Bw Antony Dialo na Maccm wenzake.

Ila Mjue kwamba mabadiliko haya hepukiki safari hii, kwa propaganda kwa matusi kwa kejeli. Lowassa ndiye Rais.

Sasa atakapo apishwa sijui mtatafuta shimo la kuingilia na itakuwa fundisho kwa wengine wenye tabia kama za kwenu, kufanya propaganda kwa chuki zenu.

Lowassa labda awe rais wa yanga lakini sio JMT
 
Unawashwa nini?
We unatekenywa au??

Mbona sisi CCM hatusemi juu ya Kingunge?
Huwa anaalikwa na TV zipi hapa nchi na lini alishamtukana Makufuli

Lowasa hawezi kuwa rais hata iweje
Habari utaipata 25 Oct.

[QUOTE maana ni fisadi mwizi alitakiwa awe keshakufa kwa kuchomwa moto[/QUOTE]
Haya mwenyekiti wenu wa chama na mgombea wenu ndo yanawahusu mbona!!!
 
Unawashwa nini? Mbona sisi CCM hatusemi juu ya Kingunge? Lowasa hawezi kuwa rais hata iweje maana ni fisadi mwizi alitakiwa awe keshakufa kwa kuchomwa moto

Wewe unapigwa kidole wewe tena cha nyosso wewe sio mwizi baba yako sio mwizi? Mama yako sio mwizi? Dada na kaka zako sio wezi.? Demu wa wako je ?? Lowasa ndie rais wako jua hivyo.
 
Babu sasa hv hana kazi wangempa ajira tu ya kumpa kipindi cha ujasiri katika ndoa maana anahitaji kushare experience yake katika ndoa
 
Mnatia hasira kwa maneno machafu yasiyo na staha,Tafadhali msikwazane ongeleeni Sera za wagombea zinatekelezeka?hapo ndio mtawavutia wastaarabu kuchangia hoja na kubalance ili October ufanye maamuzi sahihi
 
TV hii haina kitengo cha utafiti, wangetafiti wangejua kwamba SLAA NI ZILIPENDWA, sauti yake haina uwezo wa kutubadilisha!!! Rais wetu ni Lowassaaaaaaaaaaaa, iwe jua iwe mvua! Mr Push-up tupa kuleeeeeeeeee!!!!!!!
 
Unawashwa nini? Mbona sisi CCM hatusemi juu ya Kingunge? Lowasa hawezi kuwa rais hata iweje maana ni fisadi mwizi alitakiwa awe keshakufa kwa kuchomwa moto

Shika kalamu na karatasi tuanze kuorodhesha mafisadi walioko CCM na upande wa UKAWA. Lete karatasi.. si unang'aa macho! Sasa tukishawatoa madarakani mi tarehe 26 Oct nitakuja kuanza na mkeo.
 
Back
Top Bottom