Ushauri Wangu kwa Wakongo (DRC)

Wakongo hawana shida baina yao, they love each other, they love their country. Shida ni Paul Kagame na wenzake na wale mabeberu walionyofoa fuse kwenye ubongo wa kagame ili wamtumie kuvuruga kanda

Wakongo wameanza kuchapana hata kabla Kagame hajazaliwa,na wataendelea kuchapana mpk pale watakapoamua kuchakata ubongo na kumaliza matatizo yao.
 

Wakongo mpk waache kukata mauno na ndombolo za soro na kuja kusuka nywele kwny saluni za dada zetu ndipo akili itawakaa kichwani.

Vijana wa kikongo wote dreams zao ni kuishi paris na kua raia wa france/Belgium then nani aje kuwakombolea nchi yao?
 
Wakongo mpk waache kukata mauno na ndombolo za soro na kuja kusuka nywele kwny saluni za dada zetu ndipo akili itawakaa kichwani.

Vijana wa kikongo wote dreams zao ni kuishi paris na kua raia wa france/Germany then nani aje kuwakombolea nchi yao?
Tena kwa taarifa yako, licha ya matatizo ya kiusalama waliyonayo, kwa pato la mtu mmoja mmoja wanakuzidi wewe mwenye utulivu kwa miaka 60!!! wewe mwenye utulivu wa miaka 60 umeshindwaje kuikomboa nchi yako?unafikilia kwanini biashara ya kariakoo imefikia hapo ilipo baada ya wacongoman, kuacha kuja kufanya biashara Tz?linganisha thamani ya pesa yao, na ya kwako, uone, ipi yenye thamani, licha ya matatizo waliyo nayo!!
Tena ina watu wenye furaha licha ya kushinda vitani , kuliko wewe unayeishi kwenye utulivu(wala sio amani)
 
Binafsi naona Congo DRC itakuwa na amani ya kudumu pale tu Mseveni na Kagame wakiacha kujingiza katika masuala ya kisiasa ndani ya Jamuhuri ya Kongo - hizi kampeini za chini chini za kuchochea vurugu katika jimbo la kaskazini mashariki mwa DRC specifically KIVU yote kuna ajenda ya siri ya muda mrefu yenye lengo la ku-annex jimbo hilo ili lichukuliwe na nchi jirani, hao ndio wana-fund na kuwapa silaha waasi ili waendeleze vurugu katika jimbo hilo - akili zao finyu wanafikiri wanaweza kujenga hoja ya kushinikiza umoja wa Mataifa kwamba Congo DRC ni kubwa mno hivyo ni bora KIVU ijiunge na Rwanda - hiyo ndio plan ya muda mrefu, tutasema mengi lakini ukweli wa mambo mzizi wa fitina unanzia hapo, na hata siju moja Congo DRC haitakuwa na amani ya kudumu kama AU au Umoja wa Mataifa utashindwa kuwa confront M7 na PK head on na kuwambia kwamba wakome kujiingiza kwenye masuala ya kisiasa ndani ya Kongo DRC, wakiwa vig'ang'anizi basi itafutwe njia mbadala ya ku-deal nao once and for all.
 

Hao wakata mauno na wasusi wa dada zetu huku saluni wanakuzidi uwezo wewe na sio mimi.

Nchi ikombolewe kwani imetekwa na nani?

Ni kweli Congo ina wananchi wenye amani sana na ndio maana MONUSCO iko kule kuendelea kuleta amani.

Afu huniambii kitu khs Congo naijua nje ndani,hizo story zako za kikuda kawapigie walugaluga wenzako.
 
Wanamuziki wa congo kusemea madhila ya nchi yao haiwezekani kamwe sababu wanaoleta hayo madhila ndio wafadhili wao wakuu kimuziki. Mf wakati wa Mobutu usingetegemea wanamuziki hao wakemee udikteta wakati mtoto wa mobutu, saadam hussein ndie aliyekuwa akiwapa pesa karibu top artist wote. Madikteta wote wa afrika ya kati na magharibi ni maswahiba wakubwa wa wanamuziki hao. Anzia obiang nguema, alpha nconde, outara, sasu ngueso, biya n.k. Kuna kikundi kinaitwa combattants kilijaribu kuwazuia wakongo wasifanye show ulaya sbb wanafadhiliwa na madikteta kama kabila huku raia wakiteseka. Kimezimishwa hiki kikundi. Matatizo ya kongo yatamalizwa na rais mzalendo kwa msaada wa jumuiya ya kimataifa.
 
Mcongo povu linakumwagika!!!!
Hiyo Congo yenye amani na furaha ingekuwa inakimbiwa na raia wake kila siku!!?? Nenda makambi ya wakimbizi ukawaone wenzako wanavyoishi maisha duni then ujiulize kama kwao maisha safi kwanini wakubali taabu na manyanyaso kiasi kile!!??? Kifupi wakongo mmejawa sifa za kijinga lkn kiuhalisia mna maisha duni na magumu sana, msipojitafakari na kuchukua hatua mtaendelea kulialia miaka yote.
Kuhusu thamani ya pesa ni issue ya kitaalam sana na haiko hivyo unavyofikiria. Fedha yenye thamani duniani ni
1. Fedha ya Kuwait
2. Fedha ya Bahrain
3. Fedha ya Oman
4. Fedha ya Jordan
Unataka kuniambia Kuwait au Oman wana uchumi mkubwa kuliko USA, Russia, Germany au England? Noa bongo yako kijana.
Mwisho kabisa nasisitiza Wakongo msipobadilika mtaendelea kuwa watumwa na wakimbizi maisha yenu yote.
 
Empty set katika ubora wake, yaani kuandika juu ya DRC, tayari mimi ni MKONGO?!!Ina maana nikiandika mazuri ya mama yako tayari mimi ni.....akili fupi hizo!!
 
Mkuu @ Gwapo Mwakatobe, nimesikiliza kipindi chenu cha maoni cha radio DW muda sio mrefu. Umenikosha Sana unaposema ikiwa wabunge wa Tanzania wanaona miaka 10 ya Magufuli haitoshi na wanataka wamwongezee muda, ni muujiza gani Felix Tshekedi ataifayia Africa ndani ya Mwaka moja akiwa mwenyekiti?
 
Sawa kabisa umeeleza ukweli! Wengine walishiriki hata kumuua Waziri Mkuu wa Kwanza Mzalendo Patrice Lumumba. Mateso aliyoleta Mobutu nayo yakazidi kuiumiza Congo wa Wakongo wote. Nawashukuru sana Watanzania wenzangu kwa jinsi walivyo wakarimu kwa Wakongo na kuwakaribisha nyumbani miaka yote.
Wakongo wameanza kuchapana hata kabla Kagame hajazaliwa,na wataendelea kuchapana mpk pale watakapoamua kuchakata ubongo na kumaliza matatizo yao.
 
Umeuliza swali zuri na hoja nzito. Wakongo amkeni!
Wakongo mpk waache kukata mauno na ndombolo za soro na kuja kusuka nywele kwny saluni za dada zetu ndipo akili itawakaa kichwani.

Vijana wa kikongo wote dreams zao ni kuishi paris na kua raia wa france/Germany then nani aje kuwakombolea nchi yao?
 
Nakupa tano!
 
Nakupa kongole kwa kuyajua hayo na nakushukuru sana kwa kuyaweka wazi. Ndiyo maana namkumbuka sana Patrice Lumumba na uzalendo wake.

Mungu awasaidie Wakongo wafunguke kiakili na kimtazamo na kupata mzalendo uliyemsema.
 
Ahsante sana kwa kuusema ukweli na hali halisi ya Wakongo wengi, japo si wote
 
Hakika umenisikia vizuri, nakushukuru sana. Tunahitaji mageuzi makubwa katika utendaji wa AU. Natamani kuifumua kabisa ili vyeo wanavyopeana viwe vya kuwajibika na si kuwa kama mapambo na/au maigizo.
 
Umeishiwa hoja, tulia upigwe bomba.
Habari za fb, uje uzilete huku?!!jf sio fb, ambako watu unaweza walisha matango poli tu bila udadavua!!huku leta hoja ambayo unaweza itetea!!unakimbilia matusi!!,
 
Habari za fb, uje uzilete huku?!!jf sio fb, ambako watu unaweza walisha matango poli tu bila udadavua!!huku leta hoja ambayo unaweza itetea!!unakimbilia matusi!!,
We ni mwehu kumbe! Pole sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…