HahahahaYa kumtumikia makonda
Hehehehe ezden pia kawahi rekodiwa katoka kuoga lakini haikusinyaa to that extent.Hata kama mna uadui kiasi gani si kitu kizuri kutaka kumdhalilisha mtu ktk jamii.
pili visibility ni very poor.
Tatu mwanaume akitoka kuoga shrinkage au uume kusinyaa ni kitu cha kawaida.
This is extremely very low for secret video shooter.
Tusifurahie aibu za wenzetu hata kama wana mapungufu.
Kila mtu huvuna alichokipanda, waswahili husema mbwa akikuzoea sana atakufuata mpaka msikitini.. hivo basi hatuwezi kumtetea Lemutuz kwa sababu ni maisha anayoyaishi, kupanga ni kuchagua, amechagua kuishi kama mtoto mdogo, kuishi maisha ya kujidharirisha yeye mwenyewe, na hata yeye mwenyewe amesema asilaumiwe mtu ila alaumiwe yeye kwa kudeti watoto wadogo wasiojielewa..Kinachonishangaza kutoka kwenu nyie wanaume kwa issue hii ni:
1.Hamjaona kama mwanamume mwenzenu kadhalilishwa na hii ni dalili pia ya nyie. Kaka zenu. Baba zenu nk kudhalilishwa kwa Mitindo hii.
2.Hamjamlaani kama wanaume mtu mjinga kama Mange kwa kufanya kitendo kisicho cha ustaarabu na amekuwa anafanya Hivi Mara nyingi tu .ingawa mjue Mange Yeye ni mdakaji tu. Kumbe mna wadada wengi uko kwenu hawana courage Ila Mange anawapa Platform ya ujinga huuu.
3.Mambo ya maumbile ni Zawadi sasa kila mtu na mtu wake. Nyie wanaume ni hatari kuanza kufanya mambo yenu kuwa kigezo cha kudhalilishana.
4.mnashusha sana hadhi yenu humu JF
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwenyewe sikuamini kumbe hadi kina nanii nao wanafatilia kimya kimya.... Aibuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] tulipewa taarifa kabisa kuwa ifikapo 00:30 sharp atabonyeza kitufye cha bomu la nyuklia... Gambo naye akakesha aone...
WordHata kama mna uadui kiasi gani si kitu kizuri kutaka kumdhalilisha mtu ktk jamii.
pili visibility ni very poor.
Tatu mwanaume akitoka kuoga shrinkage au uume kusinyaa ni kitu cha kawaida.
This is extremely very low for secret video shooter.
Tusifurahie aibu za wenzetu hata kama wana mapungufu.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji23] [emoji23] [emoji23] tulipewa taarifa kabisa kuwa ifikapo 00:30 sharp atabonyeza kitufye cha bomu la nyuklia... Gambo naye akakesha aone...
Mabaharia huwa hawazeeki.forever young.Mmh jaman umaarufu una gharama zake
Si angetulia tu na kula pensheni zake mambo ya ujana keshakula tangu enzi za ubaharia.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hazikutoshi weweHii ni kinyume kabisa na haki za binadamu.
Wanaume mabonge wataanza kunyooshewa vidole baada ya ushahidi kupatikana!
Hiyo video natamanii niione
Chama cha wafuga vitambi na mabonge(CHAWAVIMA) kimeitisha kikao cha kamati kuu baada ya hapo kitakuja na maazimio juu ya udhalilishaji uliofanywa na huyo dada![emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hazikutoshi wewe
Umejuaje mkuu ? Mbona napata mashaka na hiyo kauli yako
Hili swali lilinijia sana. Haswa ukisoma utetezi wakeUna uhakika gani aliyemrekodi Le mutuz ni Mwanamke?
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Chama cha wafuga vitambi na mabonge(CHAWAVIMA) kimeitisha kikao cha kamati kuu baada ya hapo kitakuja na maazimio juu ya udhalilishaji uliofanywa na huyo dada!
Natoa ushauri wangu wa bure kwa Lemutuz aache kabisa kutoka na watoto maana leo kadhalilishwa mpaka tumeona tusivyotakiwa kuona.
Please oa kabisa, sidhani kama angekua mkeo angefanya kitendo hicho. Laana ya zinaa ndo hiyo unabaki kudhalilishwa na wajukuu halafu ndo wamemrushia hasimu wako kipele kikapata mkunaji.