Mr Someone
Member
- Sep 15, 2018
- 39
- 60
- Thread starter
-
- #41
Nawaza zaidi katiba hiyo itapatikana vipi? Je kuna watu wa kuongoza kupaza sauti? Wako imara? Taasisi zipi zinaweza simama sasa na kuomba haya?Katika wakati tulio nao siasa za upinzani zipo kwenye kipindi kigumu mno kuliko miaka 20 iliyopita hivyo nadhani kwa sasa upinzani ungelekeza kupigia kelele ipatikane katiba mpya inayokubalika kwa watanzania wote isiyo ya veto ili hiyo ndiyo iwe na miiko ya kuitawala nchi yetu Tanzania
Nawaza zaidi katiba hiyo itapatikana vipi? Je kuna watu wa kuongoza kupaza sauti? Wako imara? Taasisi zipi zinaweza simama sasa na kuomba haya?
Upinzani ukiamua kwa dhati kabisa ukawacha mawazo ya kesho itakuwaje wanaweza maana watawala kamwe hawapo tayari kubadili katiba walio itunga wao kwa maslahi yao ili iwalinde kuendelea kutawala hivyo basi siyo kazi ndogo ya kuamka na kuikuta mezaniNawaza zaidi katiba hiyo itapatikana vipi? Je kuna watu wa kuongoza kupaza sauti? Wako imara? Taasisi zipi zinaweza simama sasa na kuomba haya?
Tuna jamii iliyo tayari kwa hili? MapambanoUpinzani ukiamua kwa dhati kabisa ukawacha mawazo ya kesho itakuwaje wanaweza maana watawala kamwe hawapo tayari kubadili katiba walio itunga wao kwa maslahi yao ili iwalinde kuendelea kutawala hivyo basi siyo kazi ndogo ya kuamka na kuikuta mezani
Kwa maana ya ICC?Magufuli ameweza sana kutengeneza state of fear,hata kama walikuwepo watu imara sasa hivi watulivuuu LOLS...na hivi naskia wamejitoa kwenye mahakama ya kimataifa then hali inazidi kuwa mbaya
Mkuu viongozi wapo na unachotakiwa kujua ni kuwa ili taifa kukubali kubali katiba siyo nguvu ya kutoka ndani ya nchi pekee,hapana haiwezekani inatakiwa kuungwa mkono na watu wenye ushawishi unao heshimika na kuogopekaTuna jamii iliyo tayari kwa hili? Mapambano
Kwa maana ya ICC?
No nafikiri ni mahakama za kimataifa za usuluhishi wa migogoro ya kimikatabaKwa maana ya ICC?
Yap!hata sijui ni ipi,lol
nilikua sijaelewa πππβ¦Tanzania kupoteza wawekezaji baada ya kujitoa kwenye taasisi za kimataifa za usuluhishi
Ok. Hii ni mahakama inayohusiana na migogoro ya uwekezaji, haina uhusiano n jinai hizi zinazohusiana na issues kama za siasa.hata sijui ni ipi,lol
nilikua sijaelewa πππβ¦Tanzania kupoteza wawekezaji baada ya kujitoa kwenye taasisi za kimataifa za usuluhishi
Ok. Hii ni mahakama inayohusiana na migogoro ya uwekezaji, haina uhusiano n jinai hizi zinazohusiana na issues kama za siasa.
Tusishangae 2020 tukawa na 90% wabunge ni CCMnimekuelewa...thanks.
Kususa ni rahisi sana lakini uchaguzi wa vyama vyote utafanyika kwani CCM na tume watatengeneza hivyo vyama na kuweka wagombea.Habari ya usiku huu wanajukwaa?
Kwanza niwape hongera ya kuwa hadi muda huu tuko tunaendelea kupambana na hali hii ya maisha katika uchumi uliovurugwa na wavurugaji, hopefully tutasurvive as we keep on surviving.
Kama kichwa kilivyojieleza hapo juu, uzi huu nautoa ushauri wangu kwa taasisi muhimu katika ujenzi wa demokrasia(vyama vya upinzani).
Kesho tarehe 16 september kuna uchaguzi katika jimbo la ukonga. Kwa hakika kabisa ninajua (hata upinzani wanajua) kuwa Mwita waitarav(mgombea wa CCM ) atashinda. Ndio 'ATASHINDA'. Baada ya hapo Upinzania utatoa malalamiko kuwa wameibiwa kura, mkurugenzi kamatangaza isivyo halali, vituo vimeongezwa. Watalalamika kama ilivyo kawaida miaka yote.
Chadema wanajua kuwa kila mwaka wanashindwa kwa njia na mbinu zile zile. Mule ndani wanao 'wanaccm' wanajua ni vipi ambavyo upinzani huwa unashindwa..
Wanajua fika ni vipi ambavyo council inakisaidia 'tawala' katika masuala ya kifedha mathalani za mafuta kipindi cha kampeni, inajua ni vipi polisi na council zinakisaidia katia upangaji wa ratiba za kampeni, inajua ni vipi jimbo kama ukonga RSO, DSO, RPC, OCD, DC, RC, na vyombo vyote vya dola na team zao zinahamia kule, wanajua fika huyo DED hana nguvu ya 'kusimamia upinzani' ikiwa kweli 'haki' iko kwao-yupo DED mmoja huko usukumani, alimpigia magoti ex SG wa 'tawala' baada ya kushindwa na upinzani. Wanajua mapilato wengi hawawezi kusimamia kweli baada ya chaguzi..
Ni ajabu kuwa still upinzani unasimamisha wagombea katika mazingira yale yale. Ni wakati sasa wa upinzania kususia chaguzi hizi completely kwani kushiriki ni kuhalalisha mifumo hii mbovu iliyopo. Kama wanashiriki basi hakuna haja ya kuja kusimama mbele ya jamii na kulalamikia mambo yale yale kila siku...
By the way, tujiandae na kule nyanda za juu kusini....
Mkuu Someone, kumbe uliwashauri Chadema kususia kushiriki uchaguzi, na kweli wamesusa, CCM imekomba, sasa baada ya kususa, what next, na 2020 ndio hii just around the corner!.Habari ya usiku huu wanajukwaa?
Kwanza niwape hongera ya kuwa hadi muda huu tuko tunaendelea kupambana na hali hii ya maisha katika uchumi uliovurugwa na wavurugaji, hopefully tutasurvive as we keep on surviving.
Kama kichwa kilivyojieleza hapo juu, uzi huu nautoa ushauri wangu kwa taasisi muhimu katika ujenzi wa demokrasia(vyama vya upinzani).
Chadema wanajua kuwa kila mwaka wanashindwa kwa njia na mbinu zile zile. Mule ndani wanao 'wanaccm' wanajua ni vipi ambavyo upinzani huwa unashindwa..
Wanajua fika ni vipi ambavyo council inakisaidia 'tawala' katika masuala ya kifedha mathalani za mafuta kipindi cha kampeni, inajua ni vipi polisi na council zinakisaidia katia upangaji wa ratiba za kampeni, inajua ni vipi jimbo kama ukonga RSO, DSO, RPC, OCD, DC, RC, na vyombo vyote vya dola na team zao zinahamia kule, wanajua fika huyo DED hana nguvu ya 'kusimamia upinzani' ikiwa kweli 'haki' iko kwao-yupo DED mmoja huko usukumani, alimpigia magoti ex SG wa 'tawala' baada ya kushindwa na upinzani. Wanajua mapilato wengi hawawezi kusimamia kweli baada ya chaguzi..
Ni ajabu kuwa still upinzani unasimamisha wagombea katika mazingira yale yale. Ni wakati sasa wa upinzania kususia chaguzi hizi completely kwani kushiriki ni kuhalalisha mifumo hii mbovu iliyopo. Kama wanashiriki basi hakuna haja ya kuja kusimama mbele ya jamii na kulalamikia mambo yale yale kila siku...
By the way, tujiandae na kule nyanda za juu kusini....
Mkuu Magonjwa Mtambuka, asante sana kwa hii kitu. Huyu ni mmoja wa ma Prof wa ukweli ninao waaminia, hivyo naunga mkono hoja ya Prof. Safari.Huu ndio ukweli wenyewe. Hebu tuchangie bila povu wajameni.