Mr Someone
Member
- Sep 15, 2018
- 39
- 60
- Thread starter
- #21
Jambo lile lile, katika njia zile zile, linaweza kukupa matokeo tofauti??hili. la kususia hapana....
Jambo lile lile, katika njia zile zile, linaweza kukupa matokeo tofauti??hili. la kususia hapana....
Nakubaliana nawe kabisa yaani hapo ndio usemi wa Mbowe kuwa kuwa mpinzani hapa Tanzania kwa sasa inahitaji kujitolea kwa moyo mmoja bila kufikiria kesho nitakula niniHata hao ambao wanaohama upinzani wanaweza kuwa na sbb zisizo bayana(mathalani hilo la kununuliwa), lakini ukitazama kwa jicho kavu zaidi, unaona ni kama wana linda political career zao.
Tujue ubunge ni kazi na ajira, itazame kwa picha hii; mtu anafamilia bado na anahitaji kazi, anaona mazingira ya kisiasa jimboni na nchini yalivyo harsh, anaona kabisa kuwa uwezekano wa 2020 kurudi ni mdogo...amini, ni wachache sana wenye moyo mgumu wa kuweza kukataa 'kurudi nyumbani' ikiwa wamehakikishiwa ushindi sasa na 2020.
Hapa tatizo siyo uongozi wa upinzani hata kidogo maana viongozi waliopo ndio hao waliofanikisha uchaguzi wa 2015 na kupata hao wabunge wanao kimbilia kuunga mkonosidhani kama uko sahihi mkuu,amesema katika climate hii wapinzani ni ndoto kushinda.Sasa nauliza tangia 1992 upinzani ulivyoanza hii climate Je iliwahi kubadilika??kama haijawahi kubadilika kwa nini wapinzani wanashiriki uchaguzi ilhali wanajua outcome kuwa hawatashinda?,why keeping doing the same thing expecting to get different results....
Nadhani lipo tatizo kubwa la siasa za afrika, nalo ni ulevi na ushabiki uliopitiliza wa wananchi (fanatism). Wapenzi wa hivi vyama hawapendi kuyatazama mapungufu ya vyama hivi katika njia chanya, wanakuwa na majibu mepesi yanayowafumba macho (usaliti, umetumwa, unatumiwa)...
Kingine naona kama 'wenye vyama' hivi wanapata faida fulani fulani za kiuchumi na kimamlaka hii inawafanya wawe ni watu ambao 'wanacho cha kupoteza' hivyo inakuwa ngumu kuchukua maamuzi makubwa.
Swali gumu sana kwa baadhi ya watuJambo lile lile, katika njia zile zile, linaweza kukupa matokeo tofauti??
.....kujitolea kwa moyo mmoja bila kufikiria kesho nitakula nini
Naamini wabunge wengi wasiyo na msimamo wa kipinzani wataenda sana ccm amini usiamini sababu ya what is next,Na huu ndio mtego mkubwa wa upinzani sasa. The future is not promising at all!!!
Sidhani kama vyama vya siasa tanzania havifanyi biashara... Rejea ccm inayo majengo kadhaa ambayo imepangisha, viwanja vinafaya biashara, n.kMkuu mie nilipropose japokua hoja yangu ilikua ya kitoto,ni hivi ningependa vyama vyote nchini VIRUHUSIWE kufanya biashara...kuongeza revenue ...vikifanya hivyo vikahahakisha viongozi wao waliokianzisha chama wako well looked after,then hao viongozi hawata ng'ang'ania madaraka namaanisha watakua na CONFIDENCE ya kuanza Maisha yao baada ya kutawala,.hivyo kuachia uongozi na kuwaachia wanasiasa wapya wachukue kijiti...
Bado njia kuu na ya uhakika ni kususia michakato hii na kupigania mabadiliko ya kimfumo.Mkuu mie nilipropose japokua hoja yangu ilikua ya kitoto,ni hivi ningependa vyama vyote nchini VIRUHUSIWE kufanya biashara...kuongeza revenue ...vikifanya hivyo vikahahakisha viongozi wao waliokianzisha chama wako well looked after,then hao viongozi hawata ng'ang'ania madaraka namaanisha watakua na CONFIDENCE ya kuanza Maisha yao baada ya kutawala,.hivyo kuachia uongozi na kuwaachia wanasiasa wapya wachukue kijiti...
Asante Mkuu, nakushukuru sana kwa maoni yako juu yangu. Munge akupe kheri na uzima. Usiku mwemaWewe ni mburula tu unaleta ushabiki mbuzi kwenye majadiliano ya wanaume
Hapa tunacho kiongelea ni political atmosphere tuliyo nayo kwa sasa kama vyama vya upinzani mnakatazw kufanya mikutano na wananchi wenu,wakati huo chama tawala wanafanya watakavyo unategemea fair play?yaani sasa hivi upinzani ufikirie nini cha kufanya ili kuweza kupata nafasi sawaMkuu mie nilipropose japokua hoja yangu ilikua ya kitoto,ni hivi ningependa vyama vyote nchini VIRUHUSIWE kufanya biashara...kuongeza revenue ...vikifanya hivyo vikahahakisha viongozi wao waliokianzisha chama wako well looked after,then hao viongozi hawata ng'ang'ania madaraka namaanisha watakua na CONFIDENCE ya kuanza Maisha yao baada ya kutawala,.hivyo kuachia uongozi na kuwaachia wanasiasa wapya wachukue kijiti...
Sidhani kama vyama vya siasa tanzania havifanyi biashara... Rejea ccm inayo majengo kadhaa ambayo imepangisha, viwanja vinafaya biashara, n.k
Nami nakuombea mungu akupe nguvu na upendo kwa watanzania wote ili tuendelee kufurahia hii nchi aliyotuwachia mwl jk Nyerere ikiwa na upendo na matembezi ya mshikamanoAsante Mkuu, nakushukuru sana kwa maoni yako juu yangu. Munge akupe kheri na uzima. Usiku mwema
Ndugu yangu Rebeca 83 business ya kwanza kwa political parties ni kushika madaraka hayo mengine yanafuatia tu maana chama kama ccm viongozi wao wapo madarakani na wanaongoza serikali hivyo habari ya kipato kwa kiongozi hawana tatizo maana serikali ipo chini yaohizo mali niliambiwa ni tangu TANU walirithishwa lol. ndio niliambiwa hivyo kwenye topic moja..kubali hakuna leveled playground....CCM walijimilikisha na bado wanajimilikisha…..ningependa wanajamiiforums watuambie hili la vyama kutofanya business please
Ni kweli mali nyingi walizipata kutoka katika enzi za chama kimoja(by that time mifumo ya kisheria haikutenganisha sana chama na serikali, mfno RC ndiye alikua katibu wa Chama wa mkoa. Hivyo baada ya kurejea kwa vyama vingi still CCM walendelea kumiliki hizi mali-hivyo to me ni suala la kisheria zaidi kuamua juu ya uhalali wa mchakato huo), lakini still hadi leo bado ccm inapata fursa za kiserikali ambazo zinainufaisha. Ndio maana kinaitwa chama dola( huwezi tenganisha ccm na serikali), kina survive kwa nguvu ya dolahizo mali niliambiwa ni tangu TANU walirithishwa lol. ndio niliambiwa hivyo kwenye topic moja..kubali hakuna leveled playground....CCM walijimilikisha na bado wanajimilikisha…..ningependa wanajamiiforums watuambie hili la vyama kutofanya business please
Ndugu yangu Rebeca 83 business ya kwanza kwa political parties ni kushika madaraka hayo mengine yanafuatia tu....

Hapa tunacho kiongelea ni political atmosphere tuliyo nayo kwa sasa kama vyama vya upinzani mnakatazw kufanya mikutano na wananchi wenu,wakati huo chama tawala wanafanya watakavyo unategemea fair play?yaani sasa hivi upinzani ufikirie nini cha kufanya ili kuweza kupata nafasi sawa
Yes kwa muktadha huu habari ya kufanya biashara siyo kipau mbele kabisa kwa chama tawala kama ccmNi kweli mali nyingi walizipata kutoka katika enzi za chama kimoja(by that time mifumo ya kisheria haikutenganisha sana chama na serikali, mfno RC ndiye alikua katibu wa Chama wa mkoa. Hivyo baada ya kurejea kwa vyama vingi still CCM walendelea kumiliki hizi mali-hivyo to me ni suala la kisheria zaidi kuamua juu ya uhalali wa mchakato huo), lakini still hadi leo bado ccm inapata fursa za kiserikali ambazo zinainufaisha. Ndio maana kinaitwa chama dola( huwezi tenganisha ccm na serikali), kina survive kwa nguvu ya dola
Katika wakati tulio nao siasa za upinzani zipo kwenye kipindi kigumu mno kuliko miaka 20 iliyopita hivyo nadhani kwa sasa upinzani ungelekeza kupigia kelele ipatikane katiba mpya inayokubalika kwa watanzania wote isiyo ya veto ili hiyo ndiyo iwe na miiko ya kuitawala nchi yetu Tanzaniakwa kweli hamna fair play,ila mie huwaga nafikiriaga hamna linaloshindikana,hao wana siasa wapya,lazima waje na strategies ambazo zitawawezesha kufanya malengo yao katika mazingira ya haya haya mabaya,...wadau toeni mbinu..LOLS
Kwa mazingira haya haya hilo haliwezekani.... Ni suala la uchaguzi either HAKI au MASLAHI. Wangapi watasimamia wapi ndio litakalo amua.....kwa kweli hamna fair play,ila mie huwaga nafikiriaga hamna linaloshindikana,hao wana siasa wapya,lazima waje na strategies ambazo zitawawezesha kufanya malengo yao katika mazingira ya haya haya mabaya,...wadau toeni mbinu..LOLS