Ushauri wangu kwa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wangu kwa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Giddy Mangi, May 5, 2011.

 1. G

  Giddy Mangi JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 833
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwa mwenyekiti na viongozi wote wa chama,Napenda kutoa Ushauri wangu kwa Manunuzi ya Magari ya Chama kutokana na nijuavyo magari na hali ya barabara za nchi yetu.Ni vema kununua magari mapya lakini yawe ya Uingereza mfano Land Rover Defender Station Wagon na Pick/Up Double Cabin na Single Cabin kwa field work zote.Then kwa makao Makuu zinunuliwe Ford Ranger kwa matumizi ya kawaida ya ofisi.Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Chadema.

  ------------------------

   
 2. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Hivi unajuahiyo BAJETI ya magari ni shilingi ngapi?
  Unajua bei ya Landrover Mpya?
  Unajua bei ya FORD RANGER?

  Unajua kuwa si mara ya kwanza CHADEMA kununua MAGARI?
  Unajua mara ya mwisho walinunua magario gani na yapo wapi leo?
   
 3. F

  Froida JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Kwani hayo mawazo yako huwezi kuwapelekea makao makuu au ni ubishoooo tu hapa jamvini
   
 4. M

  Mbwazoba Member

  #4
  May 5, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe froida acha ujinga wewe,kila jambo la ushauri kwa chama unasema eti apeleke makao makuu,yaani ww umewekwa/umetumwa hapa bila kujua hata namna ya kuujibu hoja......rudi uwambie umefail.
   
 5. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mbona unaenda mbali Mkuu Kibanga, magari yanapatikana kwa Mwenyekiti na wala msisumbuke kuagiza Japan.Yapo pale mengi tu yaliyorudi toka miradi yake.
  Mpatieni mshiko tu.
   
 6. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #6
  May 5, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wazo zuri sana Mkuu, but can come with the budget Mkuu Mfano Landrover Mpya kutoka Uingereza inaweza kuwa ni Kiasi Gani? Na CHADEMA wanahitaji Ngapi

  Pamoja Mkuu
   
 7. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hivi jambo la ununuzi wa magari ya chama kujadiliwa humu ndo kukua kwa demokrasia au ni kukosa vyombo vya maamuzi ambavyo vingepelekewa ushauri huu na kuufanyia kazi badala ya kusumbua watu wengine ambao hawana interest na malumbano yenu ya ununuzi wa magari usiozingatia matakwa na taratibu za manunuzi!
   
 8. M

  Makupa JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  mbowe na zito wafukuzwe cdm hawana tofauti na mafisadi
   
 9. M

  Major JF-Expert Member

  #9
  May 12, 2011
  Joined: Dec 20, 2007
  Messages: 1,425
  Likes Received: 1,143
  Trophy Points: 280
  Kwa hakika kwa hapo serikali ilipowafikisha Watanzania panatosha kwa sasa. na kama ni uvumilivu wa watanzania hata Mwenyezi Mungu amekwishauona. Kwa sasa ni muda umefika kwa watanzania kusema basi.kwa hakika tangu alipoachia madaraka Mwalimu Nyerere, mambo yamekuwa yakienda hovyo, kwa maana nyingine watawala waliokuja wameiondoa na kuizika kabisa misingi ya nchi. wizi. rushwa. uzembe. uhuni.

  haya ndiyo mambo yaliyoshamiri ktk serikali yetu, na mpaka hapa tulipo hakuna aliyethubutu kumkemea mwenzie, ila kilichobaki ni kulindana tu huku wananchi wakishuhudia nchi yao ikipukutika kila kukicha.Ni kweli kabisa kuna watawala waliojaribu angalau kufufua matumaini ya Watanzania. mmojawapo ni Mkapa. kila mtu anajua jinsi utawala wa mwinyi ulivyoendesha mambo kienyeji. kazi kubwa aliyoifanya mkapa ilikuwa ni kurudisha mambo ktk mstari mzuri. na alifanikiwa kwa asilimia kubwa mno. Sasa huyu aliyeingia baada ya Mkapa, huu ni mwaka wa saba na kila kitu amekivuruga. na kama ataachiwa mpaka amalize hiyo miaka 10 nina imani hakuna shida ambayo watanzania hawataiona.Yeye kama yeye hajui na wala haoni hiyo shida kwa kuwa wapambe wake wanamdandanya kuwa hali ni mzuri kabisa huko uraiani, kumbe loh!! angejua!.

  Kwa sasa watanzania wengi na hata hao walioko ccm wanajua kabisa watakaoweza kubadilisha hii nchi na hatimae kuirudisha ktk mstari ni CHADEMA. kwa maana wao ni wapya kwa hiyo hakutakuwepo na kulindana badala yake kutakuwepo uwajibikaji wa kweli. Sasa basi kama hili kila mtu ameliona. Ushauri wangu kwa CHADEMA. Tarehe 19/05/2010 ndiyo siku serikali imetangaza kutakuwepo na mgao wa umeme mkali kuliko yote iliyowahi kutokea. kwa sababu umeme utakatwa asubuhi saa 2 na utarudi usiku saa 5. kwa kuwa suala hili linamkera kila mtanzania na kuwa serikali imeshindwa kabisa kuondoa hii shida, basi CHADEMA kama CHADEMA nawaomba mjiandae kuichukua nchi.

  fanyeni maandamano na tena yaitwe KUFA NA KUPONA. ya nchi nzima, na watanzania wote wawe ni wa ccm cuf na vyama vingine na hata wale wasio na chama watawaunga mkono na huu utakuwa ndiyo mwisho wa hii serikali zembe. kwa sababu jambo hili limeshawakera watu mpaka hawajui wafanyeje, UTARATIBU WA KUCHUKUA NCHI. Kaeni na viongozi wa jeshi na muwataarifu kuwa mnataka kuundoa utawala uliopo kwa amani na muwape kazi ya kulinda nchi hadi hapo uchaguzi utakapotangazwa na rais mpya kuchaguliwa. nina imani tutafanikiwa kwa njia hii. Kwa maana hata manabii walinena, "KATIKA VITA MUNGU YUPO UPANDE WA HAKI"
   
 10. z

  zamlock JF-Expert Member

  #10
  May 12, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  nakuunga mkono mkuu na hamu sana tuwe na raisi mpya hata kesho siyo huyu muuza sura
   
 11. Jolebatawi

  Jolebatawi JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  1.Waanzishe operesheni kabambe itakayojulikana kama vuguvugu ndani ya vyuo vikuu ili waweze kuwapata wasomi wengi zaidi nchini ili wengi ndiyo wagombee ngazi ya ubunge na madiwani na hapo tutakuwa na viongozi waadilifu na wenye uzalendo wasio na shombo ya UCCM kuliko kuchukua makapi ya ccm na kuyategemea yagombee ubunge nk kupitia chadema.Matokeo yake wengi huishia kuwa kama wakina nyimbo,shibuda nk wanaokuwa chadema kwa kukimbilia madaraka lakini bado wanaitamani ccm.
  2.Wasitumie muda mwingi kujibu mambo ya kipuuzi toka ccm,wao waendelee kuhubiri mambo yenye tija na kuendeleza mijadala yenye tija ndani ya taifa na mwisho wa siku wanaoendeleza upuuzi kwa wananchi watadharaulika wenyewe na kuja kushtuka watakuwa wamekwishachelewa.
  3.Msichoke kuendeleza mapambano vijijini kupitia m4c,,wanaowabeza na operesheni hiyo wanataka muiache kwa sababu inawakosesha usingizi.
  TUENDELEZE MJADALA WA MAONI ZAIDI ILI KUZIDI KUKIIMARISHA CHAMA HIKI KIWE MKOMBOZI WA MTANZANIA * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * *# * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * * *HAPO 2015 * * * * *
  *
   
 12. E

  Endiamasi Member

  #12
  May 29, 2013
  Joined: Apr 7, 2013
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa wale mliopata bahati ya kutembelea hifadhi ya Serengeti mmoja ya vivutio ni makundi makubwa ya wanyama wajulikanao kama nyumbu (wildbeest). Sifa moja ya wanyama hawa ni kwamba mmoja akitangulia kupita sehemu iwe ni kwenye maji, kwenye maji basi wengine wote humfuata. Binadamu amejaliwa utashi Tofauti na wanyama ambayo hutumia silika. Nasikitika kuona viongozi pamoja na makada wa Chama Cha Mapinduzi wanafanana na nyumbu wa Serengeti. Mmoja akitoa hoja hata kama ni uzushi au hoja ambayo haina kichwa wala miguu wote watadandia. Sasa hivi kuna wimbo huu wa kuhusianisha CHADEMA na vurugu na maandamano hasa pale wanapokuwa na mikutano. Kitu ambacho viongozi wa CCM wanashindwa kuelewa ni kwamba elimu ya uraia hutolewa kwenye mikutano na siyo kwenye maandamano. Sasa mimi nawashauri CHADEMA waachane na maandamano wawe wanaitisha mikutano na kuendelea kutoa elimu ya uraia tuone CCM watatoka na single gani.
   
 13. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,096
  Likes Received: 1,708
  Trophy Points: 280
  Vurugu za chadema zipo mioyoni mwao sio wenye maandamano tu
   
 14. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,096
  Likes Received: 1,708
  Trophy Points: 280
  Mkuu unatoa ushauri kwa chadema?? Au unaichambua ccm, mbona hueleweki, hebu soma heading ya thred yako uone km inaendana na maelezo uliyojikanyaga hapo
   
 15. E

  Endiamasi Member

  #15
  May 29, 2013
  Joined: Apr 7, 2013
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Japo sura yako sijui inafananaje na jina lako halisi silijui lakini kupitia michango yako humu JF niseme tu kwa kifupi kuwa walimu wako walikuwa na kazi ya ziada kukuelewesha . Wewe unaona raha kupost utumbo juu ya CHADEMA lakini wenzio wakiisema CCM ni dhambi. Thread iko very Clear wenye akili wameelewa wee endelea na huo ukilaza wako na CCM yako.
   
 16. Shy land

  Shy land JF-Expert Member

  #16
  Oct 18, 2014
  Joined: Jul 28, 2013
  Messages: 5,933
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  CCM kwa kipindi kirefu sana wamekuwa na tabia ambayo hainifurahishi hata kindogo,


  naomba wanachadema wezangu nipeni maujaja na akili yakuweza kuwathibiti hawa majangili na mafisadi wa nchi yetu. waendelee kutawala katika jimbo hili,.

  tabia ya wana ccm kila ukikalibia uchanguzi hutumia baadhi ya wanakijiji kwa kuwapa hela ili wawashawishi wanainchi kutengeneza vikudi vya ngoma na nyimbo za kuisifu ccm, huku wakiwambia siku ya kampeni watapewa fedha na mgombea, pamoja na nguo za ccm na kuwangawia chumvi na viberiti.

  hii tabia huwanga ina nikela sana, eti wanainchi unawahoga chumvi na viberiti.???

  wanachadema naombeni ushauri wenu, au kisheria inaruhusiwa.
   
 17. l

  lupe JF-Expert Member

  #17
  Oct 18, 2014
  Joined: Apr 1, 2013
  Messages: 5,659
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ushauri ni kuchoma moto hawa magamba. ...kuchoma moto vitu vyote walivyo fisadi.
   
 18. Shy land

  Shy land JF-Expert Member

  #18
  Oct 18, 2014
  Joined: Jul 28, 2013
  Messages: 5,933
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kuchoma siyo suluhisho!!! asante kwa maoni yako lakn nasikitika sitayafanyia kazi!
   
 19. l

  lupe JF-Expert Member

  #19
  Oct 18, 2014
  Joined: Apr 1, 2013
  Messages: 5,659
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Asante kushukuru
   
 20. j

  jorojo JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2014
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 1,646
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ushaifu wa upinzani ndiyo sababu cha msing cdm iache ubinafsi ili kiwenze kuaminiwa na si mgogoro ya kugombea vyeo na mambo mengine kama utawala usio na kikomo nami ntashawishika kuwaamini na raisa wengi wenye mtizamo kama wangu
   
Loading...