Kwenye maandamano ya tarehe 9 CCM wasijaribu kutumia ile mbinu ambayo walitumia tarehe 29 watakuwa wamekosea sana na pia watakuwa wamejiingiza kwenye matatizo makubwa sana ambayo kuyazima
Itachukuwa mda sana
Unajua kwanini
Kilichotokea tarehe 29 kiliwapa watu picha halisi ya kujua upande wa siri wa CCM kwa iyo kutokana na majibu ambayo waliyapata siku hiyo sio ajabu tariki 9 ikawa siku ya vita kamili kati ya serekali na baadhi ya wananchi wake
Vita ambayo itapoteza askari wengi na wananchi wengi
Najua suala ili ni ngumu sana kulielewa kwa ufupi tu wananchi hawatakubali tena kuonewa kama watoto wadogo
Ccm kuepusha haya fanya maridhiano na hawa vijana sio kuwatisha mioyo yao tayari imekuwa sugu na kama watapuuzia shauria yao