Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
Hali ya usalama kwa wakristo ni tete nawashauri sasa waanzishe military trainings kwa ajili ya kuweza kujilinda wenyewe dhidi ya mashambulizi ya kigaidi. nashauri umoja wa maaskofu kupitia makanisa yao sasa yaanzishe military trainings kwa waumini wao na si kusubiri serikali, wapeleke vijana wengi JKT kwa mafunzo.