Ushauri: Wanaume ninaowapenda ghafla wanatoweka

Ushauri: Wanaume ninaowapenda ghafla wanatoweka

Mifumo ipi ya kupenda nibadilishe? Tena mbona watu hauniambia nipo complicated, hata hawa wanaume Hadi kuwakubali ilichukua muda the first one ilichukua Kama miez minne huyu mwingine mwaka mzima we were just normal friends , may be sikumpa uhuru anaoutaka na nilikuwa nafanya hivyo for purpose cuz he was not my hubby yet! Mfano kulala kwake may be ndio maana akaenda kwa huyo mwingine

Mwanamme hawezi kubaki kama unampimia papuchi dada!Muache mwanamme apige saa na muda anayotaka!

Jirekebishe kwa hilo utampata mwingine soon!Siwezi kuja kwako kama nataka angalau nipige tutatu wewe unanipa kamoja wakati mtaa wa kati tu hapo kupiga tu nne ni guarantee!!

Mm nipo available ukizingatia nilicho shauri
 
Huna msimamo, kama machale hayakudensi kuwa ni kito.bi, olewa. Huyo dada mwingine naye atapata wa kumuoa.

Maboifurendi ni wengi mno, ila waume wachache sana.
Mkuu nadhani huyu mwenzetu huwa anakutana na wanaume micharuko akikutana na mwanaume mtulivu na mpole mambo yake yatakua swaafi.
 
Sijakata tamaa but am in pain! Kwanini matukio yanafanana toka ilivyotokea Mara ya kwanza 2010 nimekuta na na huyu 2013 ndio niliyempenda hapo katikati sikuwa na affair cuz nilikuwa nakutana na watu sijawapenda na hata sasa wako wengi wanaonipenda but am not in love with them na mimi siwez kuwa na Mtu tu hata Kama simpendi that's my problem !

so if dat z ur problems why asking for advices here?...f....sh....AM OUT
 
Mimi nakuona kama una bahati vile,maana Mungu anakupenda kwa kukuonesha mapema kabisa tabia za watu wako.Ushauri wangu muombe Mungu akupe uvumilivu na utampata Atakaye kuwa Mme bora kwako.
 
Dada jifunze k2 kimoja kumpenda mtu usiye mpenda.Ebu jaribu kuangalia ni watu wangapi wame oa au kuolewa na w2 wawapendao ni asimia ndogo sana.
Kingine,w2 wanapoonana kwa mara ya kwanza huwa ni matamanio tu,ukweli ni kuwa upendo kwa mtu unaanza pale unapo kaa na mtu kwa muda fulani kama ilivyo kwa marafiki wa kiume na kike.

what u said is absolutely true
 
switishka

Huwapendi kwa kuwa tayari moyo wako una nafasi iliyozibwa na mtu mwingine, yaani u mwaminifu kwa umpendaye...

Kwa sisi Wakristo kuna mfano mmoja ameshawahi kuutoa Yesu Kristo kama onyo ama usia kwa wale wote wanaotaka kuiona pepo...

"Na jicho lako likikukosesha, ling'oe, ukalitupe mbali nawe; ni afadhali kuingia katika uzima una chongo, kuliko kuwa na macho mawili, na kutupwa katika jehanum ya moto."

Gharama unayoitafuta ya kuendelea kuishi na huyo bwana ni kubwa kuliko hii unayotaka kuikwepa ya kuachana naye...

Kama uliweza kupenda tena toka mahusiano ya awali, kwa nini haya ya pili waona inashindikana binti...

Remember you're the boss of your own happiness...

probably is the best message of the day,watu8 hapa umetisha
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom