Ushauri: Wanaume ninaowapenda ghafla wanatoweka

Ushauri: Wanaume ninaowapenda ghafla wanatoweka

hizo zote ni signs zinaonyesha kwamba hao bado sio chaguo according to ur fate..... jaribu kuruhusu mwingine ajaribu kuwa kilele cha mti na sio tawi kama wengine maana ushashika matawi mawili kuelekea keleleni...
 
switishka

Huwapendi kwa kuwa tayari moyo wako una nafasi iliyozibwa na mtu mwingine, yaani u mwaminifu kwa umpendaye...

Kwa sisi Wakristo kuna mfano mmoja ameshawahi kuutoa Yesu Kristo kama onyo ama usia kwa wale wote wanaotaka kuiona pepo...

"Na jicho lako likikukosesha, ling'oe, ukalitupe mbali nawe; ni afadhali kuingia katika uzima una chongo, kuliko kuwa na macho mawili, na kutupwa katika jehanum ya moto."

Gharama unayoitafuta ya kuendelea kuishi na huyo bwana ni kubwa kuliko hii unayotaka kuikwepa ya kuachana naye...

Kama uliweza kupenda tena toka mahusiano ya awali, kwa nini haya ya pili waona inashindikana binti...

Remember you're the boss of your own happiness...
 
Last edited by a moderator:
Eti “nikiolewa na mtu mwingine nahisi ntatoka nje ya ndoa,nampenda sana huyu mshkaji”haaya endelea kumpenda.

Akufunue funue mpaka akili ikukae sawa.we ushaona kabisa hapo haisomo 4lte,3g wala 2g bado unang'aa sharubu.

Na hao unaowakataa ipo siku pia nao hutawaona.kifupi utakuwa umepausha.

800
 
Dada jifunze k2 kimoja kumpenda mtu usiye mpenda.Ebu jaribu kuangalia ni watu wangapi wame oa au kuolewa na w2 wawapendao ni asimia ndogo sana.
Kingine,w2 wanapoonana kwa mara ya kwanza huwa ni matamanio tu,ukweli ni kuwa upendo kwa mtu unaanza pale unapo kaa na mtu kwa muda fulani kama ilivyo kwa marafiki wa kiume na kike.
 
Elimu na Kabila la nini? Nashindwa kuelewa Kama walikuwa wananitamani si wasingekaa muda huo wote si ingekuwa one night stand! Wa kwanza nilimuachia mwenye mimba but hata yeye hakuolewa he married another woman ! na watu waliokuwa wanatujua wanasema ninge fight ningekuwa mimi ila ndugu zangu waliniambia ni move on usije ni kaingia ktk mateso ya ndoa especially my brother alisema hataki kusikia tumerudiana na huyo mtu, this time same thing mimi nitakuwa Mtu wa kuwaachia watu wengine tu!
 
switishka

will you please live God out of this? Why you? Whom did you want to experience it? (sijui nimepatia?? loh!). These guys despite their bazaziness know you're good, but they are in the same chains as yours. No man likes to bear children with several women , then marry, bear children in marriage, and then go out again to look for past lovers to do the same thing he did before he married and go back to his wife again.....unless he has certain psychological enslavement. These guys also know how much you desperately loved them so they are trying their luck. So if the married guy is calling and apologizing, don't think it is love my dear. It can be lust or guilt. I wish you could realise your worthiness. Can't you even ask yourself what is it with you that all these guys-bad and good see in you? Find it and give it to a person who deserves you. Stop pitying yourself as if you have lost a life time fortune kumbe ni vijianaume ambavyo hata havikustahili.
 
Last edited by a moderator:
Sijui aje nani humu aongee na wewe umwelewe! We mwenyewe unasema "...Wa kwanza nilimuachia mwenye mimba but hata yeye hakuolewa he married another woman !" lakini bado unajiona mwenye mkosi kiasi cha kusema "mimi nitakuwa Mtu wa kuwaachia watu wengine tu!"!!!! Basi mwaya. Subiri upate mwingine halafu akipata mwanamke mwingine au kumpa mimba we komaa......fight...usimwache huyo mwanaume. Yaani umwachie mwanamke mwingine akamfaidi bazazi wako we ubaki na upweke na jamii forum! Kweli haikubaliki!
 
switishka

pole...hayo yote n mapito mbona yupo atakaekupenda kwa dhat na kam riziki ni yako n yako tu hata uvute na kamba still n.yako take time utamudu tu
 
Last edited by a moderator:
watu8
Ila tund likiwa tamu na kukunogea unaweza kughairi!? So je ulipolikuta tunda ndo kuna matter au utamu wa tunda?
 
Last edited by a moderator:
Ila tund likiwa tamu na kukunogea unaweza kughairi!?

Kula na kumaliza tunda haina shida sweetheart, issue ni hilo tunda umelipataje?

Tunda ulilolipata kwa wasiwasi hata kula kwake haitakuwa kwa kujiachia...

So je ulipolikuta tunda ndo kuna matter au utamu wa tunda?

Ulipolipata tunda...
 
miss neddy

Mifumo ipi ya kupenda nibadilishe? Tena mbona watu hauniambia nipo complicated, hata hawa wanaume Hadi kuwakubali ilichukua muda the first one ilichukua Kama miez minne huyu mwingine mwaka mzima we were just normal friends , may be sikumpa uhuru anaoutaka na nilikuwa nafanya hivyo for purpose cuz he was not my hubby yet! Mfano kulala kwake may be ndio maana akaenda kwa huyo mwingine
 
Last edited by a moderator:
Hao ambao hauwapendi kwa sasa chagua mmoja utampenda baadae,sio lazima iwe leo au kesho,huyo ndio atakuwa mume bora kwako,achana na hao wanao wajaza mimba wasichana
 
Mapenzi daima ni kizungumkuti,anayeacha na anayechwa wote wanaumia japo anayeachwa huumia zaidi kwa kuwa anakuwa hajajiandaa kuachwa!
Pole kwa maswahibu hayo,ila tambua Adamu wako hujaonana nae siku mkionana hatakuacha kamwe!
 
switishka

Kuna cases mimi huwa siwezi kumshauri kitu bila kujuwa umri wako kwanza, if u don't mind please.
 
Last edited by a moderator:
Elimu na Kabila la nini? Nashindwa kuelewa Kama walikuwa wananitamani si wasingekaa muda huo wote si ingekuwa one night stand! Wa kwanza nilimuachia mwenye mimba but hata yeye hakuolewa he married another woman ! na watu waliokuwa wanatujua wanasema ninge fight ningekuwa mimi ila ndugu zangu waliniambia ni move on usije ni kaingia ktk mateso ya ndoa especially my brother alisema hataki kusikia tumerudiana na huyo mtu, this time same thing mimi nitakuwa Mtu wa kuwaachia watu wengine tu!

There is old chinese words says some people they can't cry until they see a coffin.
 

Attachments

  • 1409783723339.jpg
    1409783723339.jpg
    52.4 KB · Views: 87
Back
Top Bottom