Mussa waukweli.
JF-Expert Member
- Feb 28, 2013
- 534
- 319
Duh hii ni hatari aiseee Mimi ninao watatu
Ongeza bidii kwenye kutongoza wafike hata kumi hivDuh hii ni hatari aiseee Mimi ninao watatu
ongeza bidii kwenye kutongoza wafike hata kumi hiv
sitaaa
hahahah!!!acha balaa ww..mi mmoja tu ananitosha...sina di**k ya kuchezea
kama wewe ni mwanaume au mwanamke hujaowaaa wala kuolewa na wala huna mchumba usipende kuwa na mahusiano na mwanaume au mwanqmke mmoja unatakiwa uwe nao kama watatu hiv na kuendelea ili mmoja akizinguwa unachukuwa.mwingine....
huo ni ushauri wa bure kwa binadamu rijali
Umesahau jana ulisema nn??? Eti wangapi vile wanakutosha??
Kwa matumizi gani??
Kwani uliposema wanakutosha ..... ulikuwa unamaanisha kwa matumizi gani?
Kufua,kupika na usafi kwa ujumla...kwa faragha mmoja anatosha lol