wewe unao wangapi?
wewe unao wangapi?
Kwa staili hii ukimwi bado upo sanaaaa
You are among those Masaburi thinkers!mfyuuu!!
Vipi nikizidisha kipimo? Nikiwa nao zaidi ya hao?
Ni kweli mkuu ndiyo hivyoSometime ni vizuri, coz unajifunza kuishi na watu wenye hulka tofauti and how to handle them,alfu unapunguza na stress
kama wewe unao sita ujue na nyie mpo kumi na mbili watu wanajitaid kutokomeza maambukiz ya ukimwi wengine mnatafuta njia ya kuupata kama umeshindwa kujifunza kuish na watu (majiran na marafiki ) toka umezaliwa had hapo hutakaa uweze tena
Utamaindi nini wakati na mimi ninao zaidi yakeUkigundua demu wako ana wanaume sita usimaindi pia
Kwa staili hii ukimwi bado upo sanaaaa
uondoke ili iweje sasa ?
Kwa staili hii ukimwi bado upo sanaaaa