Ushauri: wanafunzi wa form 4 wenye D mbili waitwe kibonde

Ushauri: wanafunzi wa form 4 wenye D mbili waitwe kibonde

Jidundufila

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
86
Reaction score
11
Ndugu wana jamii nashauri wanafunzi watakaopata D mbili kwenye mtihani wa form four waitwe kibonde kama msamiati mpya. Au mnasemaje wadau?
 
Kibonde maana ake ni mteremko sasa wewe unategemea nini?
 
Uko sawa kabisa! Tuanze na wewe... KIBONDEEEEEE!
 
Back
Top Bottom