Nina wazo la kuanza biashara ya kuuza unga wa ulezi kwa mtaji wa 100000, nipeni ushauri jmn namna ya kuweka mchanganyiko, mfano kwa kg 5 za ulezi na weka mchele, karanga, mahindi na soya kiasi gani?
Nipeni mawazo wapendwa wangu , maeneo niliyopo upatikanaji wa ulezi upo hivo vingine ndo nanunua
Nipeni mawazo wapendwa wangu , maeneo niliyopo upatikanaji wa ulezi upo hivo vingine ndo nanunua