Midozenj01
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 410
- 400
- Thread starter
- #41
22 tu mkuu ni early asee nimekosea mkuuLate 20's kuanzia 26 kuendelea mbele vp unachezea ngapi hapo?
22 tu mkuu ni early asee nimekosea mkuuLate 20's kuanzia 26 kuendelea mbele vp unachezea ngapi hapo?
Kisu asee...Inategemea na hyo bebe kama mbovu hata kama mi mzaz lazima nikuwashie moto
Daahh bora nioe asee niikimbize 1 tuuPambana ujitegemee,utakuwa unazikimbia k mwenyewe
Kuoa sio tatizo,tatizo umpate mtu sahihiDaahh bora nioe asee niikimbize 1 tuu
Exactlywe utakuwa kijana wa dar
Kwa ujuavyo watalichukuliaje hlo? Wakiniuliza nikatae au nikubali then niombe radhi mkuu maana hawakuniona ni hadithi kapewa...Sasa hapo tatizoo ninii???
Ofcoz mkuu...we utakuwa kijana wa dar
Watu wanaonekana wanakataaa wewe kapewa story tu unatetemekaa mkuu???? Acha utanii afu maza akisikia atafurahi kweli maana atajua Ana kidumee...sema usitiee mimbaa tuuKwa ujuavyo watalichukuliaje hlo? Wakiniuliza nikatae au nikubali then niombe radhi mkuu maana hawakuniona ni hadithi kapewa...
Hapana kuna room ipo 4km kwenye site ya ujenzi... Sehem hyo mama ni famous sana asa waloniona wamenisemea kwa mama...Mambo ya kukaa kwa wazaz badala ya kutafuta getho uwe huru unakalia kulialia ....HV we unaona sawa kabisa kugegeda mdada ndani ya nyumba ya familia na Dada huyo hujamuoa???! Wafaa viboko wew....
Saaf nipo hapa room kwangu mkuu on bed napitia comments zenu...Wahi kulala
Daahh bora mkuu umenipa mahope kama yotee...Watu wanaonekana wanakataaa wewe kapewa story tu unatetemekaa mkuu???? Acha utanii afu maza akisikia atafurahi kweli maana atajua Ana kidumee...sema usitiee mimbaa tuu
Pambana ujitegemee,utakuwa unazikimbia k mwenyewe
kuwa yuda tuKwa ujuavyo watalichukuliaje hlo? Wakiniuliza nikatae au nikubali then niombe radhi mkuu maana hawakuniona ni hadithi kapewa...
wamikoani ndio kabisa hata hapo asingezuga kumwagia matofali maji angeyabeba kabisa na kuyapeleka saitiOfcoz mkuu...
Wa mikoan huwa mnafanyaje fanyaje
Hahahahh...wamikoani ndio kabisa hata hapo asingezuga kumwagia matofali maji angeyabeba kabisa na kuyapeleka saiti
hujaleta mrejesho sasaHahahahh...
By the way nashukuru soo halipo tena wakuu