Ushauri wakuu hapo mimba ipo kweli??

Ushauri wakuu hapo mimba ipo kweli??

Yeah positive hyo, vipi mtoto wa form one mini? 🙊🙊🙊🙊
 
Pima tena na uiache tester kwa muda ndani ya kojo!

Unapopanda mahindi uwe umejiandaa kupalilia, sio kukimbia shamba.
 
Hapo tayar, tena haina hata mwezi... Maana Test line ipo Weak
 
ndugu ukiona mmoja umekolea sana na mwingine uko km pink..kwa mbali..mimba ipo..changa hiyo...mimi first born wamgu ilitokea mmoja umekoza mwingine uko kwa mbali..na ilikua two weeks preg....hapo mi naona miwili
 

We fwala sijui kama umefunga mfyuuu

Achana na utamu wa kitandani

Achana na utamu wa kukulana
Shoga sijafunga leo wallah hapa nime damshi kinoma-noma,..ndio maana nimepata nguvu ya kudumbukia humu mm woiii...shoga kitanda kina raha yake jomonii we unajuaa...
 
Back
Top Bottom