Midozenj01
JF-Expert Member
- Sep 21, 2014
- 410
- 400
Hahahahh....Kumega kutamu sana balaa linakuja akianza kusema kapoteza siku zake, unatamani uende kumsaidia kuzitafuta zilikopotelea.
Yeah ipo mkuu naiona kwa mbaali...Kuna weak line kwenye test
Yaan ma girl yote mkuu yanakazia ipoo...hahaa acha kumtia Jakamoyo Aisee
Aaahh Atoe aache upuuzMimba ipo kuna line mbili hapo mstari wa control umeiva na test upo hafifu (weak)
Sawa mkuuKuna faint second line ni vema ukapima tena baada ya wiki moja
Uwezekno wa kuwa na mimba ni mkubwa, iliwahi kunitokea pia. Nilipima ikawa hivyoKimoja hakija kolea vizur ila tangu nimekutana nae 4 weeks zimepita na alikuwa katoka kubleed last 4 dayz
Daahh...Aise mimba iyoo
Kwan akibleed means yai limeharibika hamna ovum tena au..??Uwezekno wa kuwa na mimba ni mkubwa, iliwahi kunitokea pia. Nilipima ikawa hivyo
Dr. HodariHamna mimba.
Mpaka vimstari viwe viwili ndiyo mimba ipo.

Iko positive hiyoIchekini vizur wakuuView attachment 896600
Kumbe majibu unayajua,sasa nn kusumbua bongo za watu?!So cku mbili alinambia kajipima last week Leo me nampima inaonesha ivo
Vaa lenzi mbonyeo uone vzr...mmh mbona mstari mwingine huo mimi sijauona au ndio uzee unaniandama !!!?
Aaahgg hii negative kabisaaa Aisee agiza balimi ujipongeze mkuuIchekini vizur wakuuView attachment 896600
sawaaVaa lenzi mbonyeo uone vzr...
Mimba IPO mkuu.. Hongera tena ni mapacha wa kike atafanana na mama yako na wa kiume atafanana na wewe...Ichekini vizur wakuuView attachment 896600
HahahhahaMimba IPO mkuu.. Hongera tena ni mapacha wa kike atafanana na mama yako na wa kiume atafanana na wewe...
Hongera saaaaana!