naa
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 1,780
- 3,829





Twende wote mguu kwa mkono...sitaki kuchafua historia yangu mm![]()
Haaminiki tatzo...Kumbe majibu unayajua,sasa nn kusumbua bongo za watu?!
Saaaf... Weita rudisha balimi leta Heineken bariiidAaahgg hii negative kabisaaa Aisee agiza balimi ujipongeze mkuu
Ctaki ckia ivo mkuuMimba IPO mkuu.. Hongera tena ni mapacha wa kike atafanana na mama yako na wa kiume atafanana na wewe...
Hongera saaaaana!
We matataa tuu...ujiandae kulea tu.hapo ipo lakini itakuwa changa maana mstari mmoja upo faint
Alimaliza cha 4 2015 asa me ndo nasoma mkuu...Yeah positive hyo, vipi mtoto wa form one mini?![]()
Unaniua mkuu usinambie ipo aseeHallelujah
Ule mstari wa pili uliofifia nilikuwa sijauona
Nasoma mkuu ananiharibia long plan aseeMkuu unaogopa majukumu au?
We jamaa...Hapo tayar, tena haina hata mwezi... Maana Test line ipo Weak
Au sio equation...Usiogope mimba mkuu,mtoto huyo ni azina kubwa kwako huko mbeleni baada ya kuumaliza ujana - Ogopa kirusi tu.
Asee mnafukua tuu makabur...dooh salaleee!!!
Ndiye asee
Hakuna shida, tena kwa umri wako uko poa sana ukifika 40+ unapata mtoto wa kushauriana naye mambo makubwa zaidi na itapendeza zaidi kama mtafanana-ogopa kirusi tu.Au sio equation...
Nalijua hlo lakin tym bado am still young 22 years then... Hahahahh jau babuu
Hahaa, pambana mzeeNdiye asee
Nakubali acha ning'atuke...Hakuna shida, tena kwa umri wako uko poa sana ukifika 40+ unapata mtoto wa kushauriana naye mambo makubwa zaidi na itapendeza zaidi kama mtafanana-ogopa kirusi tu.
Kama kweli ni ya kwako,mwambie asante na utampa zawadi kubwa baada ya kujifungua.Nakubali acha ning'atuke...
Nalivaa kibishi kama ipo kweli