Ushauri wakuu hapo mimba ipo kweli??

Ushauri wakuu hapo mimba ipo kweli??

Kama kweli ni ya kwako,mwambie asante na utampa zawadi kubwa baada ya kujifungua.
Poa mkuu...
Japo not confirmed ila naomba iwe confirmed test ni negative...
Kama ipo mkuu bac tunasema ni "QADAR"
 
Poa mkuu...
Japo not confirmed ila naomba iwe confirmed test ni negative...
Kama ipo mkuu bac tunasema ni "QADAR"
Ha ha ha ha acha kuogopa;mi kwa mfano ningependa kwa muda huu ningekuwa na mtoto ambaye yuko sekondari ningefurahi sana
 
Ha ha ha ha acha kuogopa;mi kwa mfano ningependa kwa muda huu ningekuwa na mtoto ambaye yuko sekondari ningefurahi sana
Haya mkuu...
Ikiwa confirmed itabidi nioe sasa coz home kuzalia au kuzalisha nje ni mtiti...
Takupa kadi ya mwaliko aseee
 
Back
Top Bottom