Ushauri wakuu hapo mimba ipo kweli??

Ushauri wakuu hapo mimba ipo kweli??

Mkuu kusoma haujui si kuna maelezo kabisa ya picha na maneno

Hakuna mimba punguza wasiwasi
halafu ameanza na mikwara na kikristo juu " lakini pressure imaempanda mpaka kasahau kusoma maelezo "??

bila shaka mtoa mada atakuwa ni mwanafunzi na bado anaishi kwao
 
Nenda kituo chochote cha afya kapime kwa utra sound ili upate majibu murua kabisa mpaka tarehe mimba ilipoingia sababu wakati mwingine hivyo vidude havitoi majibu sahihi,,,,binafsi ilinitokea nilipopima ukawa unatokea mstari mmoja tu wakati dalili zote za ujauzito nilikua nazo, hospitali fulani walinipima kwa hicho kidude wakaniambia sina, baadae ilibidi niende dispensari ya private nilipopima utra sound ilinipa majibu murua kabisa
 
Hahahahaha! Mbavu zangu mie
pole mkuu nimelegeza mbavu zako.
kama kunichomoa hela hapa ndio mahali huwa nashindwa kujitetea kutoa pesa, hata utaalam wangu wa Hospitali huwa nausahau natoa fasta afanye namna yoyote kikombe kiniepuke.
 
Mimba ipo kuna line mbili hapo mstari wa control umeiva na test upo hafifu (weak)
 
Kuna faint second line ni vema ukapima tena baada ya wiki moja
 
Mkuu kusoma haujui si kuna maelezo kabisa ya picha na maneno

Hakuna mimba punguza wasiwasi
Mkuu ananiambia hazioni siku zake...
Na alikuja kusex na mie 3 days baada ya MP
 
Naona km kuna mistari miwili ila kimoja hakijakolea, km ni kweli vipo viwili basi jiandae kulea.
Kimoja hakija kolea vizur ila tangu nimekutana nae 4 weeks zimepita na alikuwa katoka kubleed last 4 dayz
 
Back
Top Bottom