Ushauri wako utanisaidia kujenga future yangu

Ushauri wako utanisaidia kujenga future yangu

hakupendi huyo! piga chini, anayekupenda ukimpgia simu hata usiku wa ma8 akuletee mzigo, anakuletea.

TeamKibamia
 
Mmmh washauri nasaha wengine majanga. Pole kwa kizazi kinacho tegemea kujufunza kupitia vijiwe na mitandao ya kijamii.

Kimsingi siyo kweli mwanamke anayekupenda hawezi kukunyima mzigo. Inategemea ni binti wa aina gani. Mcharuko au mwenye maadili. Kwa kuwa mmezoea kukutana na vibinti mcharuko ambavyo vimetolewa bikra darasa la 5 na vimetoa mimba kadhaa. Then unafikiri kila mtu yuko hivyo.

Kimsingi kwa maelezo ya jamaa huyo dada ni wale mabinti waliolelewa katika maadili. Na pengine bado ana bikra. Binti wa namna hii kuvua nguo na kugegedwa si rahisi. Anajitunza na anajua nini anafanya. Anajua anatakiwa asome kwanza na anajua kufanya mapenzi kwaweza kuathiri mipango yake kama kupata mimba n.k.

Kijana uliyeomba ushauri, mimi ni mtu mzjma na nimepitia stage hiyo. Na mimi nilifanya kosa kama ambalo unataka kulifanya. Kuacha wife material kisa hanipi uroda. Imeni cost hadi leo. Tafadhali usifanye kosa kama hilo. Wanawake wenye kujitambua wako wachache sana. Time itafika utagegeda kwa kwenda mbele. Mvumilivu hula mbivu. Jikaze na uvumilie. Sasa hivi yatosha ku enjoy company yake pale mnapokuwa pamoja na farijija moyoni kwamba kuna mtu anakupenda kwa dhati.
Naongea kutumia experience kubwa sana binti anayekupenda na kukubali hawezi kukunyima mzigo ..awe bikra awe sio bikra..
 
Habari za muda huu wadau wa jukwaa hili.
Nimekuwa ktk mahusiano na mschana flan kwa kama miaka miwili sasa.Nampenda sana maana anaonekana mwenye akili ya kutafuta na anajielewa pia.
Mwaka jana tulipanga tuanze kutunza kias kidogo kidogo cha pesa kila semista(boom) maana wote tunapata (maana nipo3rd year na yeye 2nd year) lengo la kutunza pesa ni kuwa pindi nikimaliza masomo niwe na chochote cha kufanya kama vile biashara kuliko kutegemea kuajiriwa(bahati na sibu).ni kweli tumejitahidi kujibana mpaka sasa kipo kias cha kuridhisha angalau.
tatizo liko sehem1 tu,mimi situmii pombe/kilevi chochote na wala sivuti sigara/bangi nk. furaha yangu ni kugegedana tu hasa pale ninapokuwa na mtu ninae mpenda,ile yeye kugegedana hapendi kabisa!!. tunaweza kukaa hata miez miwili nikimwuita room anakuja,na romance anakubali ila kugegedana hataki kabisa!hii hali inanipa taabu sana kias kwamba napata mawazo ya: either nimuache maana nahisi hata nikija kumuoa atanisumbua kwa hilo.or nitafute mchepuko maana haniridhishi kabisa!
spendi kumuacha maana bado nampenda coz ana plan nzuri kimaisha ila najikuta mawazo yananijaa sababu kuu ikiwa ni hyo nloitaja hapo juu.
Ushauri wenu ni muhim sana kwangu wadau,
nawasilisha.

Asikwambie mtu eti vumilia atakuja kuchangeeee?!!!! Hapana hlo mkuuu ktk upenz tu anabana je leo ukimuweka ndan na anafaham kabsa huna ujanja wwte kwake ndo atakuwekea ratba vizur,,,,,piga chin tafta size ako jilie vinono huyo hakupend yupo ampendae dats y anakubania ww


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Mrudishie pesa yake tafuta mwingine anaependa ngono ila saving hakuna kitu
 
Back
Top Bottom