Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
nimekupata miss neddy,hebu nijaribu kuendana nae japo....
suluhisho ni kukaa na kuongea nae ujue tatizo nini labda mazingira au style fulani fulani hapendi
nimekupata miss neddy,hebu nijaribu kuendana nae japo....
Chagua moja ....yuko hivyo na sithani km atabalika ...tatizo hilo,nna experience ya hiyo hali
Mmmh washauri nasaha wengine majanga. Pole kwa kizazi kinacho tegemea kujufunza kupitia vijiwe na mitandao ya kijamii.Mkuu bila kuficha au kujidai mwema hapa..ukiweza piga chini..mwanamke anaye kupenda hawezi akakunyima mzigo..hakupendi huyo mkuu..
Kumbe miezi miwili tu, be a man bhana. Tafuteni future bhana, mtakapofikia malengo yenu utagegeda hadi uchoke
suluhisho ni kukaa na kuongea nae ujue tatizo nini labda mazingira au style fulani fulani hapendi
Sure mkuu bado mapema sana then huyo manzi labda anahic akimpa sana atamchoka mapema na kuhofia kuzeeshwa mapema maana safari ndio imeanza asije mpa daily kumbe mpita njia maumivu yake huwa hayaishi.
Mmmh washauri nasaha wengine majanga. Pole kwa kizazi kinacho tegemea kujufunza kupitia vijiwe na mitandao ya kijamii.
Kimsingi siyo kweli mwanamke anayekupenda hawezi kukunyima mzigo. Inategemea ni binti wa aina gani. Mcharuko au mwenye maadili. Kwa kuwa mmezoea kukutana na vibinti mcharuko ambavyo vimetolewa bikra darasa la 5 na vimetoa mimba kadhaa. Then unafikiri kila mtu yuko hivyo.
Kimsingi kwa maelezo ya jamaa huyo dada ni wale mabinti waliolelewa katika maadili. Na pengine bado ana bikra. Binti wa namna hii kuvua nguo na kugegedwa si rahisi. Anajitunza na anajua nini anafanya. Anajua anatakiwa asome kwanza na anajua kufanya mapenzi kwaweza kuathiri mipango yake kama kupata mimba n.k.
Kijana uliyeomba ushauri, mimi ni mtu mzjma na nimepitia stage hiyo. Na mimi nilifanya kosa kama ambalo unataka kulifanya. Kuacha wife material kisa hanipi uroda. Imeni cost hadi leo. Tafadhali usifanye kosa kama hilo. Wanawake wenye kujitambua wako wachache sana. Time itafika utagegeda kwa kwenda mbele. Mvumilivu hula mbivu. Jikaze na uvumilie. Sasa hivi yatosha ku enjoy company yake pale mnapokuwa pamoja na farijija moyoni kwamba kuna mtu anakupenda kwa dhati.
1. Kuna wanawake sio rahisi kuonyesha wanapenda sex. Hebu mkiwa faragha fanya kama msisitizo zaidi (kivitendo, sio kimaneno)
2. Inawezekana haumpatii raha ya kutosha kwenye sex. Kila siku humu tunaona mabinti walilalamika hawaenjoy sex na watu wao, wanafanya tu bas. Hebu ongeza masham sham kitandani.
3. Inawezekana anamuogopa Mungu. Maisha ya chuo watu wanasali sana na huwa wanaogopa kumuudhi muumba. Kama ndivyo tumia maneno matamu (yale ya nyoka wa edeni) huku ukijitahidi kuvumilia uamuzi wa mwenzio.
4. Magonjwa. Inawezekana anaogopa kuambukizwa au kukuambukiza magonjwa. Mnatumia kinga?
5. Hakuna binadamu asiye na mapungufu. Uko tayari kuwa na anayekupa kila siku but anawapa na washkaji? Mlevi je? Mgomvi? Asiye mtafutaji... Ridhika na anachokupa Mungu...
hebu nijarib kuvumilia wakuu,asante kwa ushauri.
wote tupo hostel,japo hakuna muingiliano wa watu wengi sana.
Sure mkuu bado mapema sana then huyo manzi labda anahic akimpa sana atamchoka mapema na kuhofia kuzeeshwa mapema maana safari ndio imeanza asije mpa daily kumbe mpita njia maumivu yake huwa hayaishi.
asante kwa ushauri wako mdau.
Hata ningekua mie ningekataa hostel!!wote tupo hostel,japo hakuna muingiliano wa watu wengi sana.