Ushauri wako unahitajika...

Ushauri wako unahitajika...

thank u much
Kimbia na usigeuke nyuma...............utakuwa km anavyokutusi!!

Pole sana!! najua inataka moyo coz umewekeza sana kwake.................muda, mapenzi, fedha, bi.ki.ra yako, attitude............ila sin this last sin.......kimbia, japo inauma lakn pale haupo salama yaani jamaa, ndg, marafk ndio nguzo ya mapenzi yenu??!!..............this is a dangerous catastrophe in love affairs!!!!
Time will tell!!
 
he said,imani inamruhusu kunipga stop akiona kuna uhtaji wa kufanya ivo..na uwa tuangombana smytmz ananiambia inanipa kiburi..

naww umeridhika kiroho safi yaani nihangaike nipate ajira mwanaume anipige stop labda hajipendi,karne hii siyo ya kuomba hela ya chumvi kwa husband hayo mapenzi yako yana wazimu shost unapigiwa alert ya hatari bado unang'ang'ania,kweli tunatofautiana thinking capacity
 
sio kila kitu lazima uombe ruhusa mfn huyo bwana anamlazimisha aende wakasolve tatizo asiende home kuwaona wagonjwa khaa angekuwa ni yeye angekubali au ndo mfumo ubeberu unaomsumbua tu.

Nimekupata Asnam, sema hawa wamekuwa na mgogoro kwa muda mrefu sasa inafikia kila mmoja anaona kama anahujumiwa na mwezake na kjenga kiburi. Hata hivyo ndoa ni kazi kweli kweli. Mungu naye aombwe ili akae katikati ya mahusiano/ndoa hizi kwani zingine zina mwisho mbaya kweli kama ile ya valentine's day ya SA.
 
Nimeisoma kwa masikitiko makubwa sana sana, kama ni kweli jua hapa hakuna mapenzi nashauri sana aachane nae kungali mapema sana, nasikitika kusema kuwa Hawa ndugu zetu kuoa na kuacha ni kitu cha kawaida sana, wakati sisi tukioana tunasema kuwa tumeunganishwa na kuwa mwili mmoja wenzetu wao hawana hio kitu kabisaaaa, mwanamke ni kitu baki na hana say yoyote
siku hizi watu waachana,mume malaya unang'ang'ania,mume anakugeuza punching bag,unang'ang'ania kisa?mateso ndani ya ndoa ya siku nenda siku rudi ni mabaya na siku hizi sasa kuna ukimwi
 
mleta mada usikubali kubadili dini kwa ajili ya huyo mtu,dalili za mvua ni mawingu,kosa afanye yeye,msamaha uombe wewe.hajakuoa vipigo,ndoa ni long commitment,na ameshakujua wewe ni weak.kama ulivyosema huyo ni mwanamme wako wa kwanza,kwako wewe ni special,achana nae huyo,tatizo lake ni ana manyanyaso,ndoa utakuja kuiona chungu tu.miaka 5 ni mingi,ameshakuchoka huyo.mwanamke hapendwi dizaini hizo.
 
.............................,unavojilazimisha kwake ptuuuuuuuuuuu
una moyo aisee................................,dunia haipo hivo , maisha ni furaha mdada
utakufa siku si zako.kwanini upoteze furaha ya uhai wako kwa ajili ya mtu.......................? yeye ni nani? kimbia..................
Smile nimedit kidogo............punguza hasira za uchungu msaidie tu jamani.................maana kawekeza muda mrefu mwenzio........miaka 5, halafu akiambiwa change anachange totally................weee mhurumie mshauri kwa upole.............anaumia sana nikimsoma................maana anaonekana anataka kutoka lakn anashindwa..............ndo maana kaja hadi hadhari!! Ila kwangu naona km its just a simple exercise...........i close the history and my life goes on with good music around!!
 
Last edited by a moderator:
duh,wewe utakuwa tegemezi sana,simama imara,songa mbele! mimisa
 
Last edited by a moderator:
asante kwa ushaur
mleta mada usikubali kubadili dini kwa ajili ya huyo mtu,dalili za mvua ni mawingu,kosa afanye yeye,msamaha uombe wewe.hajakuoa vipigo,ndoa ni long commitment,na ameshakujua wewe ni weak.kama ulivyosema huyo ni mwanamme wako wa kwanza,kwako wewe ni special,achana nae huyo,tatizo lake ni ana manyanyaso,ndoa utakuja kuiona chungu tu.miaka 5 ni mingi,ameshakuchoka huyo.mwanamke hapendwi dizaini hizo.
 
nimekua ktk mahusianokwa miaka mi 5 ss...jamaa ashapropose siku nyng tu,na tukaanza taratbu za kufanikisha muunganiko wetu legally...jamaa ni muislam,mimi ni mkristo na wazaz wangu viongoz wa dini..niko tayar kumfata dini yake lakin wazaz wangu hawatak ata kuskia..na wameshaanza kutamka maneno mazito juu yangu...KINACHONIUMIZA NI HIKI..ana hasira mbya sn...na akikasirika ananiambia maneno ambayo hua yananiumiza..ananitukana matuc lyk mm choko,tikiti,kiazi,mbulula,mothr f**k n so many more,na majuzi kaanza kuniambia mm malaya..mara nyng jua tunagombana ananitishia kuniacha nina beg 4 4gvnes +kuwashrikisha marafiki zangu na zake mpaka tunarudiana tena..ss iko kitendo cha ku beg kua nae ss anakichukulia kama fimbo ya kuniumizia..maana majuzi alinitamkia '' this tym nakuacha na hata ukusanye kila kiumbe kuni beg sitakurudia''..inaniuma sn..kinachoniumiza zaid ni matusi,ananishusha thamani kwa matuc yake...ananiambia nimechange nimekua malaya n I swear to d almight God,,sijawah ata kukaribia kua na mahusiano na mwingne zaid yake yy + he is my 1st man....naombeni ushauri kwa hali hii nifanyeje?..nampenda sn lakin ndoa hii ata nikiifunga nitakua na furaha nae kweli?,,,am so confused...nisaidieni kimawazo:sad:

kwa nini mnangombana? nilikuwa na mwanamke mmoja kwake ugomvi ni jadi hata ukikaa kimya atapiga simu akutukane. hayo matusi pengine wewe ndio chanzo itakuwaje aporomoshe matusi kama hayo?

fikiria sana hapa jf si kila wazo linalotolewa ulifanyie kazi fikiria sana wengine humu kazi yao nikuachanisha ndoa za watu
 
Bi dada huyo jamaa hakufai. Ameshajua unampenda sana na anajiona hauna kimbilio. Siwezi kukulaumu kwa vile ni uzoefu wako wa kwanza. Punguza mawasiliano na yeye, tumia muda wako kusoma vitabu vya dini na kuhudhuria ibada. Nakuhakikishia utapata Mume bora atakayekufariji na utajuta kwa nini ulikuwa na huyo asiyejua kupendwa
 
yaan dia ninateseka sn..kila nikisema nijaribu kumuacha hata kula nashindwa..

Chaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......................pole kweli manake unampenda hasa vile hajui tu!! pole unaumia sana...........ila yatapita tu just take an appropriate action!!
 
asante sn mpendwa
Bi dada huyo jamaa hakufai. Ameshajua unampenda sana na anajiona hauna kimbilio. Siwezi kukulaumu kwa vile ni uzoefu wako wa kwanza. Punguza mawasiliano na yeye, tumia muda wako kusoma vitabu vya dini na kuhudhuria ibada. Nakuhakikishia utapata Mume bora atakayekufariji na utajuta kwa nini ulikuwa na huyo asiyejua kupendwa
 
n AHUU NDIO UKWELI, AKIKUCHOKA ANAKUACHA ANENDA kwa mwingine na inaruhusiwa kwa imani yao....nakukumbusha tena TAKE CARE BEFORE IT IS TOO LATE
nilivoandika ni kweli tupu,na sio vyote nimeviweka apo...na kweli pengne maadili ya ndoa kua tofauti inachangia..pengne mi nawaz penzi la milele wakat mwenzangu anawaza vingnevo
 
asante sn
Chaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa......................pole kweli manake unampenda hasa vile hajui tu!! pole unaumia sana...........ila yatapita tu just take an appropriate action!!
 
mm huwa situkani.nimelelewa ivo..ata neno pumbavu + mjinga ni yy ndo aliyafanya yakazoeleka masikioni mwangu..na hata siku moja sijawah kumtukana..tho na mm uwa na hasira ambazo zinaishia kulia tu
kwa nini mnangombana? nilikuwa na mwanamke mmoja kwake ugomvi ni jadi hata ukikaa kimya atapiga simu akutukane. hayo matusi pengine wewe ndio chanzo itakuwaje aporomoshe matusi kama hayo? fikiria sana hapa jf si kila wazo linalotolewa ulifanyie kazi fikiria sana wengine humu kazi yao nikuachanisha ndoa za watu
 
siharakii kuolewa..ila kwa kua 2mekua in rltshp miaka mi 5 wt do u expect 2 com aftr dat?..sipendi tu matuc yake na harassment zingne,,
Kuolewa siyo mchezo siku hizi hasa kama mvua zimekimbia.
 
smile nimedit kidogo............punguza hasira za uchungu msaidie tu jamani.................maana kawekeza muda mrefu mwenzio........miaka 5, halafu akiambiwa change anachange totally................weee mhurumie mshauri kwa upole.............anaumia sana nikimsoma................maana anaonekana anataka kutoka lakn anashindwa..............ndo maana kaja hadi hadhari!! Ila kwangu naona km its just a simple exercise...........i close the history and my life goes on with good music around!!
am sory bwana....i was there naelewa!
 
Back
Top Bottom