Ushauri wako unahitajika...

Ushauri wako unahitajika...

Pole sana mamisa! Kwa uzoefu wangu na maelezo yako nikwamba wewe bado mgeni wa mapenzi. na hujiamini pia wasiwasi ako nikwamba kama huyo jamaa akikuacha hutapata mwingine. lakini pia kuna kitu anacho katika maisha ambacho anajua kuwa wewe unakipenda na huwezi kukipata popote isipokuwa kwake. offcourse jamaa anakunyanyasa kwa udhaifu wako. naswala la kubadili dini ndo umempa kichwa. kama utafunga naye ndoa utajuta.

Nakushauri achana naye utapata mwingine. kama kuolewa vuta subira Usiwe na kiraruraru:A S-heart-2:. SUCCESS ARE FOR THOSE WHO ARE WAITING.
 
OMG..ninauwezo wa kuafford mahitaji yangu muhimu..simtegemei na hajaniweka mjini
 
thank u so much 4ur advice
Pole sana mamisa! Kwa uzoefu wangu na maelezo yako nikwamba wewe bado mgeni wa mapenzi. na hujiamini pia wasiwasi ako nikwamba kama huyo jamaa akikuacha hutapata mwingine. lakini pia kuna kitu anacho katika maisha ambacho anajua kuwa wewe unakipenda na huwezi kukipata popote isipokuwa kwake. offcourse jamaa anakunyanyasa kwa udhaifu wako. naswala la kubadili dini ndo umempa kichwa. kama utafunga naye ndoa utajuta. nakushauri achana naye utapata mwingine. kama kuolewa vuta subira Usiwe na kiraruraru:A S-heart-2:. SUCCESS ARE FOR THOSE WHO ARE WAITING.
 
Naona bado kuna baadhi ya vichwa vya ushauri wa maswala ya kimapenzi bado sijwaona...............wale ambAo kwangu mm ningeambiwa niunde kamati ya NEC ya MMU..................nisingeweza kuwaacha kwenye timu, vp mbona siwaoni akina gfsonwin na kundi lake, na wengne kibao ambao nawaona km ndio akina messi wa MMU??!! bado mpo mzigoni??!!
Mkimaliza mje huku msaidie uzoefu............!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyo jamaa ana dushelele kubwa la saizi gani hasa? Mimi naunga mkono hoja ya SMILE, kwani kwa mtu mzima uliyeumbwa ufurahi unakubali kuuza uhuru wako na furaha yako ili kumfurahisha mwanaume asiyekujali! Kweli unahitaji msaada wa mungu tu kukutoa huko ulipo. Jaribu kutembelea nyumba za wenzako uone jinsi wanavyoishi hata kama kunatokea kuhitilafiana bado hawadharauliani hivyo.
 
He is still a boy,bado hajawa mwanaume huyo!

Kwani,alikulazimisha ukubali proposition yake?

Usiwadharau wazazi,huwa na maono ya kweli...zingatia mawazo yao.

Usiogope kupenda tena,piga chini huyo na sali utampata mwingine.

Usiwe mburula (samahani lakini)
 
asante kwa ushauri

asante kwa ushauri...
Hivi huyo jamaa ana dushelele kubwa la saizi gani hasa? Mimi naunga mkono hoja ya SMILE, kwani kwa mtu mzima uliyeumbwa ufurahi unakubali kuuza uhuru wako na furaha yako ili kumfurahisha mwanaume asiyekujali! Kweli unahitaji msaada wa mungu tu kukutoa huko ulipo. Jaribu kutembelea nyumba za wenzako uone jinsi wanavyoishi hata kama kunatokea kuhitilafiana bado hawadharauliani hivyo.
 
nimekua ktk mahusianokwa miaka mi 5 ss...jamaa ashapropose siku nyng tu,na tukaanza taratbu za kufanikisha muunganiko wetu legally...jamaa ni muislam,mimi ni mkristo na wazaz wangu viongoz wa dini..niko tayar kumfata dini yake lakin wazaz wangu hawatak ata kuskia..na wameshaanza kutamka maneno mazito juu yangu...KINACHONIUMIZA NI HIKI..ana hasira mbya sn...na akikasirika ananiambia maneno ambayo hua yananiumiza..ananitukana matuc lyk mm choko,tikiti,kiazi,mbulula,mothr f**k n so many more,na majuzi kaanza kuniambia mm malaya..mara nyng jua tunagombana ananitishia kuniacha nina beg 4 4gvnes +kuwashrikisha marafiki zangu na zake mpaka tunarudiana tena..ss iko kitendo cha ku beg kua nae ss anakichukulia kama fimbo ya kuniumizia..maana majuzi alinitamkia '' this tym nakuacha na hata ukusanye kila kiumbe kuni beg sitakurudia''..inaniuma sn..kinachoniumiza zaid ni matusi,ananishusha thamani kwa matuc yake...ananiambia nimechange nimekua malaya n I swear to d almight God,,sijawah ata kukaribia kua na mahusiano na mwingne zaid yake yy + he is my 1st man....naombeni ushauri kwa hali hii nifanyeje?..nampenda sn lakin ndoa hii ata nikiifunga nitakua na furaha nae kweli?,,,am so confused...nisaidieni kimawazo:sad:
Kosa lako kubwa la kwanza huzijui kweli za maisha ndio mana hujui hata uombe ushauri wapi; sio kila mtu anaweza kukushauri wengi wana frustration zao tayari. Kama uko seriuos na tatizo lako ni la kweli ni inbox nikupatie ushauri unaoweza kukusaidia
 
Ushauri gani wa siri huo, mbona wahenga walishasema "problem shared problem solved"?

Au unataka umfanyie na maombi maalumu Mzee... hata chui huanza kumfukuza swala kwa kumtenga kutoka kwenye kundi ili iwe rahisi.
 
Wahenga hawajawahi kuumba mwanadamu hata mmoja na ni juu yake kufata ushauri wangu au aendelee kuwasikilizeni nyie mnaoamini hata bata anaweza kumshauri njiwa. La msingi hapa ni kwamba when Jesus was come unto the grave site where him that he loved - most was buried, alisema liondoeni jiwe. Ndugu na wengineo wakasema alishaanza kuoza na ananuka kwa kuwa ni siku ya tatu tangu amefariki ( kama nyie mnavyosema ooh mbulula wewe, ooh jamaume gani, nk ).

Yesu akajibu akawaambia je sikusema mkiliondoa jiwe mtauona utukufu wa mungu? Mwenye tatizo lake yupo na lipo jiwe la kuondoa kwenye maisha yake ili aweze kuuona utukufu wa mungu. Si kila mtu aweza kutambua jiwe hilo nini kwani wengine wanaona ni yule mume, wengine wanaona ni wazazi, nk Lakini kiukweli jiwe lililoko kwenye maisha ya mhusika sio mojawapo kati ya hayo.

Uamuzi ni wake kuni inbox au kuacha.
 
Back
Top Bottom