yaan wwe m2 hajakuoa bado anakunyanyasa hivyo, akikuoa je c atakua anakufungia choon? Usijilazimishe kupenda usipopendwa, huyo c ndg yako hata ukiachana nae maisha bado yapo!anamgangania m2 asieona umuhim wako wa nn?
Usisubiri ufunge ndoa au kuzaa na mtu kama huyu utajuta kuzaliwa, unaona huwezi kumuacha lakini mimi nakuambia unaweza, jikaze mpige chini, anazidi kukupotezea muda, kumbuka kua sasa hivi ndio mko kwenye uchumba anakutusi kiasi hicho akishakuoa ndio atakua anakupiga kila siku, Kwanza kashakuona mjinga, maana alitegemea kua uwe umeshamuacha kwa matusi yake na manyanyaso yake , lakini wewe unaendelea kumganda.
Kwa nini anakutukana? Acha kuleta sababu za upande mmmoja na kwa members wengi ni kama wewe, wanajitia Upilato bila kuangalia upande wa pili. Yawezekana unamatatizo wewe au yeye? Lakini kuzungumza na kujirekebisha ni kitu cha msingi sana. Wanaume tunafanan sana kwa hili katika wanawake ila wanawake wanafikiria wanachukiwa. Hakuna mwanaume anayeweza kuwa na wewe halafu akuchukie. Toa sababu zaidi za hayo matusi.
yaan dia ninateseka sn..kila nikisema nijaribu kumuacha hata kula nashindwa..
Nimekufatilia sana mada yako hapo juu na comment zako!! Ukweli katika mapenzi kuna point ikifika ni vigumu kujinasua!! Alichokifanya kwako kwa mtu mwingine hata mada asingeileta hapa kwa ushauri angenawa tu basi!! Hapo hakuna real love zaidi ya mazoea tu!! Matusi dharau ni sumu sana kwa maisha ya ndoa ambayo unayahitaji!! Kubadilisha Dini sio swala na wazazi wako wanakataa ila kwa msukumo wa penzi unadiriki kufanya hivo! Hicho ni kitanzi unajivisha, mie ningekushauri jipe mazoezi ya kufuta hilo penzi kwani baada ya ndoa hautakaa miaka mitano mbele maana huyo jamaa ameshajua wewe ni dhaifu kwake na akisha kubadilisha Dini vingi vitakushika!!
Mi nahisi unang'ang'ania Akuoe ili akubomoe mangumi ubaki kibogoyo na chongo ukose man mwingine
Huyu dada hajafikia point ya kushindwa kujinasua, sasa hivi ndio kwanzaaa wachumba, na hawana hata mtoto sasa anashindwaje kujinasua hapo??? Udhaifu wa huyu dada ndio unaomtesa, hadi atakapoweza kuchukua maamuzi magumu ndio ataweza pata amani.
yaan dia ninateseka sn..kila nikisema nijaribu kumuacha hata kula nashindwa..