Ushauri wako unahitajika...

Ushauri wako unahitajika...

thanx..u made me smile kwa maneno na iko kikatuni
Kumuacha unaweza sana, ni kujipa moyo na kuwa jasiri unaweza sana tena im telling you mwezi mmoja tu mbona unamsahau?Achana nae, mpende akupendae asokupenda achana nae, tena dini yake yenyewe ni nanihii, loooohhhh!!Kimbia tena huku umevua viatu maana ukijiloga ubebe:mimba:imekula kwakoooo!
 
Tazama hii video itakusaidia.
 
Last edited by a moderator:
yaan dia ninateseka sn..kila nikisema nijaribu kumuacha hata kula nashindwa..
kuachana kunaumiza ila ni maisha, acha aende sio kila kitu unachokipenda lazima uwe nacho
mfano mimi nilimpenda sana mama yangu ila amefariki so nijiue au nisile! kubali yaishe uishi kwa amani
kwanza utapata mwingine mzuri wewe ? acha tu dunia ina wanaume wengi wewe? kuna wazuri balaa utajuta kwanini ulikuwa unapoteza muda hapo!
 
Duuuuh..sina hakika hata huu ushauri wa wadau utaufuata..endelea naye siku yakikushinda utachukua ustaarabu wako.
 
yaan dia ninateseka sn..kila nikisema nijaribu kumuacha hata kula nashindwa..

Hapa JF wengi ni wapotoshaji tu katika mahusiano/ndoa. Wengi wanaugulia chinichini ila kwa kujua umuhimu wa ndoa ndo maana wapo ndani. Badilika wewe na yeye atabadilika na ukimuacha basi utamaliza wanaume.
 
mpaka kuandika humu,nishaumia sn kimyakimya
Kwanini uendelee kuumia mimisa ?
Kwani km kifanyio hata wengine wanavyo na wanajua kucare na kuvitumia kuliko huyo...!
Unataka Mungu akupe maono gani?

Achana nae tulia zako upate mwenye mapenzi ya dhati na upendo wa kweli. Huyo haashindwi kukuletea small hausi ndani tena ukizingatia dini yake inaruhusu ndio utajiju!

Kula kona faster mambo mengine yatajipa baadae!
 
Last edited by a moderator:
asante sn..kama wengne waliweza..naamini nami nitaweza kulivuka hili
kuachana kunaumiza ila ni maisha, acha aende sio kila kitu unachokipenda lazima uwe nacho
mfano mimi nilimpenda sana mama yangu ila amefariki so nijiue au nisile! kubali yaishe uishi kwa amani
kwanza utapata mwingine mzuri wewe ? acha tu dunia ina wanaume wengi wewe? kuna wazuri balaa utajuta kwanini ulikuwa unapoteza muda hapo!
 
nimebadilika ving sn...vingne nafanya tu ili kumridhisha nikijipa moyo kua hakuna mapenzi yalonyooka kama rula..lakini matuc mpendwa..ashanipiga twice,akaapa kuacha..bt d way anavokua akiwa na hasira zake i can tel inaweza tokea tena..ss najiuliza nitabadilika mimi peke yangu wakat yy yuko palepale kisa tu ni mwanaume?...nikimwambia anayoniumiza ananiambia nimeanza jeuri na dharau..
Hapa JF wengi ni wapotoshaji tu katika mahusiano/ndoa. Wengi wanaugulia chinichini ila kwa kujua umuhimu wa ndoa ndo maana wapo ndani. Badilika wewe na yeye atabadilika na ukimuacha basi utamaliza wanaume.
 
Kwanini uendelee kuumia mimisa ?
Kwani km kifanyio hata wengine wanavyo na wanajua kucare na kuvitumia kuliko huyo...!
Unataka Mungu akupe maono gani?
Achana nae tulia zako upate mwenye mapenzi ya dhati na upendo wa kweli.
Huyo haashindwi kukuletea small hausi ndani tena ukizingatia dini yake inaruhusu ndio utajiju!
Kula kona faster mambo mengine yatajipa baadae!

Kifanyio?
 
Mungu anisaidie..cos maumiv ya mapenz ndo nayaona ss..
Kwanini uendelee kuumia mimisa ?
Kwani km kifanyio hata wengine wanavyo na wanajua kucare na kuvitumia kuliko huyo...!
Unataka Mungu akupe maono gani?
Achana nae tulia zako upate mwenye mapenzi ya dhati na upendo wa kweli.
Huyo haashindwi kukuletea small hausi ndani tena ukizingatia dini yake inaruhusu ndio utajiju!
Kula kona faster mambo mengine yatajipa baadae!
 
nimebadilika ving sn...vingne nafanya tu ili kumridhisha nikijipa moyo kua hakuna mapenzi yalonyooka kama rula..lakini matuc mpendwa..ashanipiga twice,akaapa kuacha..bt d way anavokua akiwa na hasira zake i can tel inaweza tokea tena..ss najiuliza nitabadilika mimi peke yangu wakat yy yuko palepale kisa tu ni mwanaume?...nikimwambia anayoniumiza ananiambia nimeanza jeuri na dharau..

Pata ushauri wa kudeal na mume kutoka kwa mama mchungaji au akina mama wenye heshima zao. Yaweza saidi, lakini kuachana kama members wanavyosema, utamaliza wanaume wengi kwani wanaume na kwambia tunafanana sana. Wanawake wengi sana wanatukanwa katika ndoa kwa sababu hizo kama zako.
 
iko pia kinaniumiza..nishaanza kujutia my 5 yrs..pengne ningekua kwingne nisingeumia kias hiki
Pole sana.Huna thamani kwake..Hizo ni ishara tu.Na waislamu wanavyooa wake wengi na talaka nje nje mbona utakoma ukiingia kwenye hiyo ndoa..
Huyo siyo wako.Ushapoteza miaka mitano so chukua hatua haraka.
 
Nimeisoma kwa masikitiko makubwa sana sana, kama ni kweli jua hapa hakuna mapenzi nashauri sana aachane nae kungali mapema sana, nasikitika kusema kuwa Hawa ndugu zetu kuoa na kuacha ni kitu cha kawaida sana, wakati sisi tukioana tunasema kuwa tumeunganishwa na kuwa mwili mmoja wenzetu wao hawana hio kitu kabisaaaa, mwanamke ni kitu baki na hana say yoyote
Achana nae kwani haoni umuhimu wako.

Babu
Dark City, FP na Elli njoo mumsaidie huyu kiumbe.
 
kwa mama mchungaji ndo sijafika..ila kuna watu wazima niliwashirikisha,waliyonambia nifanye nilijitahidi..ikasaidia kwa kipind kifupi tu..badae hali ikawa kama zaman,na zaid
Pata ushauri wa kudeal na mume kutoka kwa mama mchungaji au akina mama wenye heshima zao. Yaweza saidi, lakini kuachana kama members wanavyosema, utamaliza wanaume wengi kwani wanaume na kwambia tunafanana sana. Wanawake wengi sana wanatukanwa katika ndoa kwa sababu hizo kama zako.
 
nilivoandika ni kweli tupu,na sio vyote nimeviweka apo...na kweli pengne maadili ya ndoa kua tofauti inachangia..pengne mi nawaz penzi la milele wakat mwenzangu anawaza vingnevo
Nimeisoma kwa masikitiko makubwa sana sana, kama ni kweli jua hapa hakuna mapenzi nashauri sana aachane nae kungali mapema sana, nasikitika kusema kuwa Hawa ndugu zetu kuoa na kuacha ni kitu cha kawaida sana, wakati sisi tukioana tunasema kuwa tumeunganishwa na kuwa mwili mmoja wenzetu wao hawana hio kitu kabisaaaa, mwanamke ni kitu baki na hana say yoyote
 
wewe utakuwa ulikuwa abused as a child,ndio maana ukubwani unaona ni kitu cha kawaida,break the cycle mamii mpotezee mazima.....wanaume wapo kibao asikudanganye mtu.....:rockon:
 
Smile ​nimecheka sana, mwenzio anaomba ushauri anatukanwa halafu wewe unamtukana matusi yaleyale tena?, hii noma.
ni kweli wewe ni mburula wala sio tusi,unavojilazimisha kwake ptuuuuuuuuuuu
una moyo aisee
mtu anikute na meno yangu 32 aniite choko au tikiti mimi?
achana nae wewe kiazi ,dunia haipo hivo , maisha ni furaha mdada
utakufa siku si zako.kwanini upoteze furaha ya uhai wako kwa ajili ya mtu mmoja tena umemjua ukubwani? yeye ni nani? kimbia huko tikiti mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom