Kuna baadhi ya vitu ambavyo ni vigumu viigingiza kwenye akili ambayo iko sober!
Nashkur kwa ushauri wenu wakuu nazidi kupata kitu...... Japo wengine wanahisi jockes...... Ila ni reality in real world...... Ahsanten
first post at M.M.U....STILL UNDER SURVEILLANCE...
atakuwa member mzoefu, lkn kwa nature ya story na jinsi alivyojipotray (say kwa kusagia cheating) asingeweza kutumia ID ya zamani.
Ndipo point ya hypocrisy ya kwa member maarufu ya lara 1 inapokuja
wakat unamwibia mwenzako ulijiona ww ndio ww,ww ndio kidume kuliko wanaume wote, hukutaka kutambua maumivu atakayoyapata mwenzako. Hukufikir kuwa hata huyo mwanaume mwenzako ana moyo wa nyama.. Mm naomba ulaaniwe na watu wote waseme amina.
Na shukur Mungu umekutana na jamaa ni zoba ningekuwa mm kitendo cha kukutana na ww tu ningekamua trigger mara tatu kifuan kwako joka ww
Duh !! Haya mambo ya ndoa haya ni pasua kichwa walahi !!! Yote 9, mimi nlicho mind ni kwann huyo mwanamke uliezaa nae anaendelea kukusumbua wakat anajua yeye ni mke wa mtu na wewe una mke na familia yako iliyoko songea unless kama ni issues relating na huyo kichanga chako. Watu mshafanya mistake lakn unakuta mwingine bado anataka kuendelea kuleta matatzo. Ndio maana wengine wanapigwa na risasi. It seems baada ya yeye kumuambia ukweli huyo bwana ake aliyefunga nae ndoa huko bukoba na kuona amemsamehe na kukubali kumuoa hvyo hvyo basi ndio amejiachia na kuona she can do anything. Ingekua ni mimi nisingekubali kufunga ndoa na huyo mwanamke aliyekua na ujaa uzito wako maana mwisho wa siku ingekua ni dharau na kejeli tu. All in all no one knows.
ukome mmezidi kufungua zipu,na huyo kaka kamuoa huyo dada kuficha aibu ila moyoni ana machungu sana.
Hivi mnaingia kwenye ndoa na akili zenu au na akili za matope
Yani hii kesi ni ngumu ngumu kweli kuitolea ushauri, manake maji yoooooooooooooote yashamwagika hayazoleki, na kwa jinsi mambo yenu yanavyokwenda nakuhakikishia soon mkeo atajua na hapo balaa linaweza likazidi, me nazani ni heri na wewe umwambie mkeo ukweli wote wa kilichotokea then mengine yatajulikana kuanzia hapo manake atleast akiamua kukusamehe utakuwa na mtu wa karibu wa kumshirikisha na kukusaidia mawazo na hata maamuzi ukiwa huru
Ana miezi tisa sasa