Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,501
Kuna baadhi ya vitu ambavyo ni vigumu viigingiza kwenye akili ambayo iko sober!
Maisha yako so complicated. Yanayoletwa mitandaoni mara nyingi huwa diluted kidogo. For some reasons naiamini hii story and l think hiyo mess itabumbulika kwa mkewe naye kama mume aliyesalitiwa itabidi akubali matokeo. Lkn hatrage itakuwa order of the day kwa ndoa zote.