Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,275
Ushauri wako umefika....... But let's me pause the questions for u..... 1. Umeolewa 2. Kama ndio... Hujawah fanya kosa lolote.... Ktk maisha yako kwa Mungu na kwa binadamu...... 3. Unafikiri Kuna yoyote mkamilifu katika dunia? NIJIBU HATA MOJA
1. sijaolewa & i always date one man at a time
2. huwa nafanya makosa ya bahati mbaya ila hayafikii hili la kwako na huwa najitahidi na kumuomba mungu nisirudie kosa hilohilo mara mbili
3. no one is perfect
NB: For your case naona kama ni makosa ya kusudi,umetumia muda,pesa & nguvu zako kuijenga familia yako una mke na watoto ila baada ya kukutana na mwanamke mwingine unaisahau familia yako unadiriki kuchepuka tena mapenzi yasiyo salama,bila kujali kama utapata watoto nje ya ndoa au utapata magonjwa ya zinaa unayoweza kumuambukiza mkeo. NAHISI WATU WENGI WANAOANA NA WATU WASIOWAPENDA otherwise kama kweli unampenda mtu huwezi kufanya hayo madudu