Ushauri wako ni muhimu sana hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ushauri wako ni muhimu sana hapa?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by TZ boy, Mar 24, 2012.

 1. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  Na mdogo wangu amemaliza f4 mwaka jana na amepataka kama ifuatavyo,
  P=D
  C=D
  M=C
  G=C
  B=D
  H=C
  K=C
  Ci=C
  L=D
  Sawa na III=23

  Alijaza tech colledge kama ifuatavyo
  1.DIT=Telecom
  2.DIT=Eletrical
  3.ATC=Telecom
  4.DIT=Computer
  5.DIT=Computer

  utata unakuja ana weza chaguliwa corse gani au awahi shule za binafsi japo chapo kipato si kizuri? Ushauri wako na ansateni...'Nawasirisha
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Atapata chuo,ucwe na presha mkuu.
   
 3. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 45
  yani ni full stress but thanks mkuu senetor!
   
Loading...