Ushauri wako ni muhimu hapa

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
2,181
Reaction score
410
Wakubwa nafikiri niliwahi kuweka bandiko hapa kwawanaokumbuka wakati naenda kuanza chuo mwaka 2011.
Yaah namshukuru mungu mwakani naweza kugraduate na mimi nikachukua kadiploma kangu ka civil, sasa wadau naomba ushuri wenu kuhusu degree yangu nikasome nini, maana napenda nikasome civil tena, ila kunamwalimu wangu wa construction management anatushauri sana juu ya kusoma procurement degree kwamba ikosokoni sana katika soko la ajira.
 
Una diploma still unataka kushauriwa? Loh
 
haa haa mkuu unataka tukushauri kichit-chat chit-chat au?
 
peleka jukwaa la Elimu hapa utaambulia UTANI
 
Mtaly hizi Thrade zako zime appear mbili , so wengine tume comment kwenye ile nyingine , na baadhi wana comment huku .
 
kwa kuwa ushasoma civil nenda kasome ualimu, ajira za uhakika sio procurement...
 
kumbe wanaopaswa kushauriwa ni wenye elimu gani mkuu?? tuache ubaguzi jamani

Angalia unaomba ushauri kwenye mambo gani, si kila jambo ni la kuomba ushauri, Elimu ya diploma enzi zetu ni elimu kubwa tu, unaitwa msomi, hivyo jamii inakutegemea wewe hata kwenye kushauri na kuelekeza, Labda sijui hizo diploma zenu za Siku hizi za miezi 3 au 6
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…