Napenda kukusaidia lakini uwe tayari kupokea ushauri. Mimi binafsi nilishapitia mapito yako. Kuna ukweli unatakiwa kujua kuwa mtu anaweza kuwa baba yako au mama yako lakini akawa adui yako.
Baba yangu na mama yangu mzazi walinichukia sana bila sababu. Lakini niliwapenda na niliwafanyia mambo mengi mema. Sio hivo tuu bibi yangu nilimpenda sana lakini pia alikuwa akinichukia san. Ila babu yangu hakuwa na shida.
Badae nilikuja kujua ukweli kuwa familia yangu ina siri kubwa sana. Siri hiyo ni kwamba kaa mbali na vitu usivyo vijua…….. hama karibu na hao watu kata mawasiliano na ndugu zako wote nenda mkoa mpya anza maisha utafaniliwa kama mimi. Na pia ukiondoka usiage na apa hutorudi nyuma tena. Watakuuwa. Ikiwezekena kunywa maji chooni. Msaada zaidi soma mada zangu na comments.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.