Ushauri wako ewe mwana JF mpenda maendeleo

ketegile the don

New Member
Jun 21, 2019
1
1
Habari ndugu wanajamvi, Mimi ni mtumishi wa umma, Nina mpango wa kufanya biashara kama njia mbadala ya kujiongezea kipato na biashara yangu imejikta katika genge lenye mtizamo kama kwenye kiambatanisho. Naomba ushauri wako pale palipo pelea au panapotakiwa kupunguzwa. Akhasante sana.View attachment NO.docx
 
Back
Top Bottom