Ushauri wakati unanunua flat screen Tv's

Si ni kama hizi mkuu nazungumzia maana kuna jamaa nilienda yeye anauza moja 150k hapa Tz
View attachment 856560
Zipo design tofauti tofauti ikiwemo moja yenye muonekano kama huo.

Kupata uhakika zaidi kama yako imeharibika angalia nyuma ya remote ama kwenye sehemu ya battery ili ujue model ya hio remote.
 
Zipo design tofauti tofauti ikiwemo moja yenye muonekano kama huo.

Kupata uhakika zaidi kama yako imeharibika angalia nyuma ya remote ama kwenye sehemu ya battery ili ujue model ya hio remote.
Chief-Mkwawa naomba msaada hapa. Kwa bajeti ya 700k-800k TV gani unaweza kushauri mtu anunue! Yenye picha ang'avu, ikiwa smart pia yenye FHD, UHD itakuwa njema sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najipanga na hisense tv mkuu .je utakidhi hayo mahitaji au hata tcl yenye nchi 32 inazo hizo featurez
 
Mkuu hii feature ya kuspilit ni kwa tv zote smart najipanga nihamie hisense nchi 43 smart je nitakidhi mahitaji yangu ya kawaida mkuu
 
Sijakuelewa mkuu .hebu fanya kurahisisha tu kwa kuniambia kifaa jina flani kina uwezo huo basi .Namaanisha unipe tu kina la tv kabisa na size yake ila nadhani nitaimudu gharama ya 32 "
Hio Ni software feature most of time, hivyo unahitaji kujua os husika kwanza.
 
Sijakuelewa mkuu .hebu fanya kurahisisha tu kwa kuniambia kifaa jina flani kina uwezo huo basi .Namaanisha unipe tu kina la tv kabisa na size yake ila nadhani nitaimudu gharama ya 32 "
-lg zenye web os
-samsung zenye tizen
-brand nyengine kama sony zenye android tv,

sema hakikisha ni android tv, kuna brand nyingi za kichina zina android ila sio android tv.
 
Duuuh nazipata kwa angalau bei gani mkuu .au nipe model kabisa ili niitafute dukani nianze kuwekeza pesa taratibu taratibu

Mkuu Ngumu kukutajia model Fulani uitafute, ila njia rahisi angalia remote, kitaalamu hii feature inaitwa Picture in picture mode (PiP)

Hivyo utaona button yake kwenye remote.

Sony
 
Msaada..nahitaji app nzuri ya kufanya casting kati ya simu na Smart tv.
 
Msaada..nahitaji app nzuri ya kufanya casting kati ya simu na Smart tv.
Huwa mara nyingi huhitaji app kucast kwenye smart tv maana wanaweka built in features. Tv ni ipi na simu ni ipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…