Ushauri wa wazi kwa J. J. Mnyika (Mb)

Ushauri wa wazi kwa J. J. Mnyika (Mb)

Acha kujidanganya kikao cha juzi kimara mwisho amezomewa na kina mama baada ya kumuuliza maji uliyotuahidi yako wapi? Maji hakuna jimbo lake? Atoe hela yake? Inamaana Halima Mdee anatoa hela yake mfukoni kutengeneza barabara na makaravati? Maji? Mfuko wa kuendeleza jimbo wanaopewa bungeni anapeleka wapi? Subiri 2015 akipita nigeuke jiwe.

Fikra zako tu saiv ni sawa na jiwe, unawaongelea wakina mama wa ccm wanaotumwa kwenye majukwaa kuleta propaganda? We kweli jiwe.
 
Fikra zako tu saiv ni sawa na jiwe, unawaongelea wakina mama wa ccm wanaotumwa kwenye majukwaa kuleta propaganda? We kweli jiwe.

Mbona hata mnyika analijua hilo? Kuna siku aliandaa mkutano wa hadhara kimara mwisho walitangaza mnyika na mdee watakuwepo, badala yake wakaja kina mama na ndoo za maji, hawakutokea tena na mkutano haikufanyika.
 
Nilikuuliza una maanisha afanye kitu gani?

Mimi Nimekwambia yeye anawakilisha watu wake vizuri kuliko Wabunge wote wa CCM Dar, ukimwondoa Ndugulile.

Vv

Anawakilisha ktk vikao vya chama au kutatua matatizo ya wananchi wa jimbo lake kama alivyo waahidi wakati anaomba kura?
 
.... Mnyika Yuko Vizuri Sana. Amejitahd Kuleta Maendeleo Jimbon Kwake
 
Acheni kubeza,mnyika kafanya Mambo mengi,unataka hadi uyashike kwa mikono ndio uamini.?
Kanyaga twende J.J.Mnyika kijana shupavu na hodari katika medani za siasa Safi.

Mimi nilimpigia kura Mnyika kwasababu alituahidi atatupatia maji!

Sasa hivi amebakia kupiga domo na siasa Tu..

Mnyika maji aliyotuahidi yako wapi!??
 
Serikali imetoa pesa za miradi ya maji ubungo mnyika amezila pale Yenu Bar
 
Mkuu, ni kweli kabisa, mimi tangu nipate akili na kufuatilua siasa za Dar, Ubungo haijawahi kupata Mbunge mahiri kama JJ Mnyika.

Nilikuwepo enzi za Hussein Hading'oka, akaja Ngula, akafuata Lamwai ambaye aling'olewa na Mahakama, kisha Charles Keenja.

Ktk wote hao niliowataja, hakuna aliyefikia viwango vya Mnyika.

Vv

Ubora WA mbunge haupimwi kwa kuongea Sana bungeni.

maji aliyotuahidi yapo wapi!?????
 
KWANINI MSIMPE DEGREE YA HESHIMA maana hata hicho chuo chako kipo jimboni kwake. Mbona JK mnamjazia tu halafu hata hazimsaidii.
 
Mnyika ametuharibia sana mabinti zetu wa Mabibo Hostel mpaka shule ikamshinda
 
Mnyika pesa za mfuko wa jimbo badala ya kupeleka maji Ubungo anazitumia kuwahonga mabinti wa Mabibo Hostel
 
Mh. Mnyika,nilikufahamu tangu ulipogombea Ubunge wa Ubungo kwa mara ya kwanza mwaka 2005 dhidi ya Charles Keenja. Wakati huo nilikuwa mwanachuo wa mwaka wa kwanza UDSM nikichukua Sheria. Ingawa sikuwa mpigakura wako kwakuwa nilijiandikisha Kibaha,nilikuunga mkono. Ukiwa kijana na mwanafunzi mwenzetu UDSM,tulijivunia uwepo na ugombea wako.

Mh. Mnyika,mwaka 2010 nilihamisha kituo changu cha kupígia kura kwa ajili yako. Nikahamisha toka Kibaha hadi Ubungo. Nikakupigia kura Nkrumah Hall UDSM nikitambua uwezo,nia na sababu zako za kuwa Mbunge wa Ubungo. Safari hii nikiwa mwajiriwa wa UDSM. Ukamshinda Hawa Ng'umbi wa CCM na kuwa Mbunge.

Tangu kuwa Mbunge,hukuwahi kutuangusha kama vijana katika hoja na msimamo wa kitaifa. Umekuwa ukiongozwa na kauli zithibitikazo kwa nyaraka na tafiti mbalimbali. Hakika vijana wa Tanzania unatuwakilisha vyema na tunajivunia kukuchagua kuwa Mbunge wa Ubungo.

Nakushauri mambo mawili. Mosi,uanze upya au umalizie elimu ya juu yako. Tunahitaji ubongo wako ulioimarika zaidi kielimu. Elimu ya juu kwa nafasi na uwezo wako wa kiuongozi haiepukiki. Pili,endelea kuwatumikia wananchi wako wa Ubungo na Tanzania kwa ujumla kwa weledi,uwezo na bidii uliyojaaliwa. Asante

We na usomi wako, ndio akili yako imefika hapo?

Mnyika na bogus kama wewe huna hadhi ya kumshauri kwa akili yako ilivyo fupi.

Nilikuwa nakuona wa maana kumbe bure tupu
 
As long as ana deliver sifahamu wala siitaji kufahamu personal issues za mtu. Mnyika peke yake ni sawa na basi la marcopolo lililojaa wabunge wenu wale wa "wanafiki waseme ndio" wanajibu "ndiooooo" ukimtoa filikunjombe.

Ni kweli kabisa. Kama nilivyosema hapo awali. Ingawa Mnyika hana degree hata moja, lakini utendaji wake unawazidi wabunge wengi sana wenye degrees.
 
Petro uongozi na kiongozi mtendaji hahitajiki kuwa na elimu kubwa kama unavyofikiria. Wapo wanye elimu kubwa na Ni viazi vibovu tu.!!!!!! Kikubwa awe mwadilifu kwa taifa na asimamie maslah ya wananchi. Umeshauri kwa vigezo VP Petro?????? Mana hapa umeonesha uwezo mdogo......!!!!
 
Back
Top Bottom