Pamoja na ushauri mzuri.Ila sikubaliani na kwenye nyekundu. Maisha ni malengo na nini kiwecha kipaumbele-ni kweli kati harakati hii ya ukombozi wa Pili wa Nchi yetu hakuna ubishi Mh.JJ Mnyika hakosi kuwa kati ya Tatu Bora ya Vijana.
Na hilo la Elimu ya juu kuwa jambo la lazima kwa suala la kiuongozi kwangu ni jambo la kupuuzwa na si kuhusudu sana maana historia imeliproof wrong.
Jiridhishe na hawa hapa chini kabla hujawaaminisha wengi.
Nje ya Africa;
Hapo penye red toa ufafanuzi juu ya kiwango cha elimu Mh. Mnyika alichofikia!!!!Mh. Mnyika,nilikufahamu tangu ulipogombea Ubunge wa Ubungo kwa mara ya kwanza mwaka 2005 dhidi ya Charles Keenja. Wakati huo nilikuwa mwanachuo wa mwaka wa kwanza UDSM nikichukua Sheria. Ingawa sikuwa mpigakura wako kwakuwa nilijiandikisha Kibaha,nilikuunga mkono. Ukiwa kijana na mwanafunzi mwenzetu UDSM,tulijivunia uwepo na ugombea wako.
Mh. Mnyika,mwaka 2010 nilihamisha kituo changu cha kupígia kura kwa ajili yako. Nikahamisha toka Kibaha hadi Ubungo. Nikakupigia kura Nkrumah Hall UDSM nikitambua uwezo,nia na sababu zako za kuwa Mbunge wa Ubungo. Safari hii nikiwa mwajiriwa wa UDSM. Ukamshinda Hawa Ng'umbi wa CCM na kuwa Mbunge.
Tangu kuwa Mbunge,hukuwahi kutuangusha kama vijana katika hoja na msimamo wa kitaifa. Umekuwa ukiongozwa na kauli zithibitikazo kwa nyaraka na tafiti mbalimbali. Hakika vijana wa Tanzania unatuwakilisha vyema na tunajivunia kukuchagua kuwa Mbunge wa Ubungo.
Nakushauri mambo mawili. Mosi,uanze upya au umalizie elimu ya juu yako. Tunahitaji ubongo wako ulioimarika zaidi kielimu. Elimu ya juu kwa nafasi na uwezo wako wa kiuongozi haiepukiki. Pili,endelea kuwatumikia wananchi wako wa Ubungo na Tanzania kwa ujumla kwa weledi,uwezo na bidii uliyojaaliwa. Asante
uraisi wa nin anaweza pewa mnyika?
uraisi wa nin anaweza pewa mnyika?
Mh. Mnyika,nilikufahamu tangu ulipogombea Ubunge wa Ubungo kwa mara ya kwanza mwaka 2005 dhidi ya Charles Keenja. Wakati huo nilikuwa mwanachuo wa mwaka wa kwanza UDSM nikichukua Sheria. Ingawa sikuwa mpigakura wako kwakuwa nilijiandikisha Kibaha,nilikuunga mkono. Ukiwa kijana na mwanafunzi mwenzetu UDSM,tulijivunia uwepo na ugombea wako.
Mh. Mnyika,mwaka 2010 nilihamisha kituo changu cha kupígia kura kwa ajili yako. Nikahamisha toka Kibaha hadi Ubungo. Nikakupigia kura Nkrumah Hall UDSM nikitambua uwezo,nia na sababu zako za kuwa Mbunge wa Ubungo. Safari hii nikiwa mwajiriwa wa UDSM. Ukamshinda Hawa Ng'umbi wa CCM na kuwa Mbunge.
Tangu kuwa Mbunge,hukuwahi kutuangusha kama vijana katika hoja na msimamo wa kitaifa. Umekuwa ukiongozwa na kauli zithibitikazo kwa nyaraka na tafiti mbalimbali. Hakika vijana wa Tanzania unatuwakilisha vyema na tunajivunia kukuchagua kuwa Mbunge wa Ubungo.
Nakushauri mambo mawili. Mosi,uanze upya au umalizie elimu ya juu yako. Tunahitaji ubongo wako ulioimarika zaidi kielimu. Elimu ya juu kwa nafasi na uwezo wako wa kiuongozi haiepukiki. Pili,endelea kuwatumikia wananchi wako wa Ubungo na Tanzania kwa ujumla kwa weledi,uwezo na bidii uliyojaaliwa. Asante
mnyika mesha pata pesa elimu ya nini .yeye alisema elimu hizidi pesa
hapa ubungo ajiandae kukaa kando mapema
uraisi wa nin anaweza pewa mnyika?
Yakipatikani maji kimara yote mpaka mbezi,mwakani agombee tofauti na hapo atafute jimbo lingine.
mnyika mnafiki sana
.... Mbona Akina Prof Tibaijuka, Muhogo, Kikwete, Na Wengine, Pamoja Na Elimu Yao Lakini Ni Mambumbumbu Kiuongozi. Degrii Moja Inatosha Sana.
Kwani Mnyika hana digrii? Binafsi naona uelewa wake na jinsi anavyochambua masuala mbalimbali ni kama ana Masters vile. Kama kweli hana ni bora asome aipate - lakini isiwe digrii fake kama ya akina Agustine Mrema na wengineo
Maji jimboni ubungo imekuwa ndoto
Malizia mkuu wengineo kina nani?wataje tafadhali