Ushauri wa Shemeji Yangu

Nilishamuuliza, how long nimsubirie. Hana majibu....huyo alikua anajua alitendalo? We unaweza kulipa fadhila za wazazi? Eti mpaka uwajengee? Umri unakungoja? Kwenu hamna nyumba?
Huwezi kulipa fadhila ila unaweza kuwasaidia ingawa yeye kwa maelezo yako wazazi wake hawakuwa na hali ngumu kiasi cha kuhitaji attention yote hiyo. Nasema namuelewa because my sisy did the same. Aliahirisha mambo yake kama kuolewa na kujiendeleza kimasomo ili atusaidie sisi walau kusogea. Aliolewa late na ndoa yake haijadumu. Tofauti ni kwamba yeye hadi leo yupo strong, bado ni mtu ambae tunamtegemea kwa kiasi kikubwa
 
Si ndio hivyo j4 unaambata nae kwenda kununua ili aone ulivyo na kifaa kipya???
Ndio, mamsapu wangu nipo nae muda wote....asipolala kwangu kalala kwake. Sometimes namuacha dukani mazingira andalizi. Uzuri yeye hayuko humu JF....anajionea tabu wala havutiwi nayo. Yule x yupo humu lakini sijali akiijua hii ID. Sina cha kupoteza.
 
Hongera kwa kutufa Hongera kwa kufika sielalione mkuu uko vizur.
 
Nakubaliana na ww mkuu kwa 1000%
 
Mtegemea cha nduguye hufa maskini sio sawa kujisfia eti tunamtegea kwa sehem kubwa we una akili na viungo vyote vya mwili acha kuwa mzigo kwa mwenzako bhana. [emoji848][emoji848][emoji32][emoji32]
 
Mtegemea cha nduguye hufa maskini sio sawa kujisfia eti tunamtegea kwa sehem kubwa we una akili na viungo vyote vya mwili acha kuwa mzigo kwa mwenzako bhana. [emoji848][emoji848][emoji32][emoji32]
Kuna mahali nimesema mimi ni mzigo kwake? Katika maisha kuna kupungukiwa, kuanguka na ukahitaji kunyanyuliwa....kama wewe maisha yako yapo smooth mshukuru Mungu ila sie wengine tunapanda na kushuka, na tunapokuwa tunahitaji kuinuliwa sio kila mtu anaweza kukuinua
 
Mkuu nielekeze nije na cameraman hapo site ili tupate picha safi kabisa

Ushaur: itapendeza ukienda bila demu wako mpya ili ushobokewe
 
Duhh! !!!!! Unazidi kumpa stress za maisha sasa. ..
Ndio, mamsapu wangu nipo nae muda wote....asipolala kwangu kalala kwake. Sometimes namuacha dukani mazingira andalizi. Uzuri yeye hayuko humu JF....anajionea tabu wala havutiwi nayo. Yule x yupo humu lakini sijali akiijua hii ID. Sina cha kupoteza.
 
Huwa mbaya zaidi yule aliyempenda kwa dhati halafu akamletea dharau. Huyu ukumbukwa daima hata akiolewa
 
Utaua mtu kwa presha
 
Kuwasaidia hakuishi. Haina maana ukiolewa ndio basi umeiaga familia. Na haina maana hata ukiwajengea ndio basi tena hutawasaidia.

Na kwa wazazi, kumsomesha mtoto sio investment yako, eti kesho ikulipe. It is your duty and obligation kumpa elimu mwanao. Kama unataka kulipwa muandikishane mkataba na huyo mwanao.
 
We jamaa una logic za maana sana!
BTW jumanne tupe mrejesho.
 
MZEE UMETUTEKA NA MIKASA YAKO, SASA ULIOA MWINGINE ALIJUA...AU UKO NA MWANAMKE MWINGINE REACTION VIPI.....LETE STORY
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…