Ushauri wa sehemu ya kupeleka ugunduzi wangu

Ushauri wa sehemu ya kupeleka ugunduzi wangu

Nenda wizarani ukaulizie wao ndy watakupa maelezo ya kna zaid,ila kumbuka kuwa unaweza kunyang'anywa au kudhulumiwa hyo formula na wahuni.Kuna Mzee flank namfaham aligundua dawa ya kutibu sumu ya nyoka akaipeleka wizarani hyo dawa pamoja na baadhi ya nyoka kwenye sumu husika inayoweza kutibiwa na hyo dawa,kilichotokea in kwamba kuna mtu akataka kum- double cross kwa kumlazmisha Mzee atoe fomular,kwa bahat nzur Mzee akashtukia kamchezo na akarud na dawa yake,formula pamoja na nyoka wake so, be care Mister kwa kuwa ukienda ukajichanganya kwa kukabidhisha formular kwanza na ukamuelekeza namna ya ku-prove hyo formular,atawahi kwenda kwenye Media na kuiandikia kitab! Mwishowe watu watamuamini kuwa yeye ndy founder wa hyo formular
Mzee huyo angeondoka na dawa yake na formula lakini angewaachia nyoka wapambane nao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mko poa wakuu?
Niende kwenye mada yangu kiujumla, najua humu kuna wasomi. Swali langu lilikuwa je kwa Tanzania kwa mfano mtu ukiwa umegundua lets say formula ya hesabu au kitu chochote cha tofauti unapeleka wapi na je kuna faida yeyote unayooweza ipata kutokana na ugunduzi wako huo?

Lengo la uzi huu sio kujisifia bali ni swali na kuomba ushauri.

Asanteni🙂🙂
Peleka cosota ukasajili ama waone costech watakusaidia
 
Back
Top Bottom